Mataifa 20 sasa yatia saini kuilinda bahari Nyekundu dhidi ya magaidi, Iran inazidi kutengwa

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,667
48,441
Hawa magaidi wa kidini pamoja na mfadhili wao Iran wanazidi kuwekwa kwenye msalaba, mataifa 20 yote kulinda hilo bahari.

===================

More than 20 countries have joined the US-led coalition to protect Red Sea shipping from attacks by Yemen’s Houthi rebels, the Pentagon says.

The Iran-backed Houthis have repeatedly targeted vessels in the vital shipping lane with strikes they say are in support of Palestinians in Gaza, where Israel is battling terror group Hamas following its unprecedented attack on Israel on October 7.

“We’ve had over 20 nations now sign on to participate” in the coalition, Pentagon spokesman Major General Pat Ryder tells journalists.
 
Iran imetengwa kitambo na bado ipo tu inasonga
 
Dawa ya Iran inachemka, akijichanganya tu ataingia ndani ya 18 za wenyewe - tutamsahau kama vile kina Sadam na Gadafi.
Tumeshindwa msahau Assad aliezuia Bomba lisipitishwe toka Qatar kwenda huko west, Sembuse Iran?. Mimi nilitegemea muungano ungeundwa ili kuikomesha RUSSIA inayomuonea UKREIN, Sasa muungano mkubwa wakupambana eti na HOUTHI sivituko hivyo?.

Bado najiuliza Kwa Nini USA kashindwa kulinda hio RED SEA pekee yake?.
 
Siyo kwamba anashindwa kuilinda sema bahari ni mali ya binadamu yeyote na haimilikiwi na mtu taifa au kikundi cha watu, ndiyo maana anahitaji ushawishi..
 
Utu tu taifa 20 tutaaibika tu.Urusi kapigana na tutaifa zaidi ya 32,na wote wamepigika.

Usije niuliza Yemen ana Nini Cha maana,jiulize pia Hamas Wana Nini mwezi wa pili huu taifa lenye vikorokoro vyote vya kupigania wanapigika.
Kumbuka mrusi hajapigana na mataifa hayo uso kwa uso, sema wanampatia Ukraine silaha kama rafiki tu maana hakujiunga na umoja wao wa NATO hapo awali so, hawana sababu yeyote ya kumsaidia zaidi ya urafiki na ujirani.

Kama ukweli mrusi anajiona jeuri aachane na kupepesa avamie moja ya mwanachama wa NATO ndipo nitaona kweli jeuri...
 
Tumeshindwa msahau Assad aliezuia Bomba lisipitishwe toka Qatar kwenda huko west, Sembuse Iran?. Mimi nilitegemea muungano ungeundwa ili kuikomesha RUSSIA inayomuonea UKREIN, Sasa muungano mkubwa wakupambana eti na HOUTHI sivituko hivyo?.

Bado najiuliza Kwa Nini USA kashindwa kulinda hio RED SEA pekee yake?.
Ata sisi tunaweza kukataa bomba la mafuta kutoka uganda lisipite kwetu na tusihojiwe na taifa lolote maana hilo haliwahusu, sasa ni vipi kumuona USA kachemka...
 
Safi sanaaa. Dunia hii bila Marekani na Israeli tungetaabika sana na hawa wafuasi wa allah wanaolazimisha kila mtu ajiunge na dini yao.
 
Hawa magaidi wa kidini pamoja na mfadhili wao Iran wanazidi kuwekwa kwenye msalaba, mataifa 20 yote kulinda hilo bahari.

===================

More than 20 countries have joined the US-led coalition to protect Red Sea shipping from attacks by Yemen’s Houthi rebels, the Pentagon says.

The Iran-backed Houthis have repeatedly targeted vessels in the vital shipping lane with strikes they say are in support of Palestinians in Gaza, where Israel is battling terror group Hamas following its unprecedented attack on Israel on October 7.

“We’ve had over 20 nations now sign on to participate” in the coalition, Pentagon spokesman Major General Pat Ryder tells journalists.
Mr Uharo una umri gani? Iran kawekewa vikwazo miaka mingi lakini bado ni hatari kwa mabasha zako.
 
Safi sanaaa. Dunia hii bila Marekani na Israeli tungetaabika sana na hawa wafuasi wa allah wanaolazimisha kila mtu ajiunge na dini yao.
Angalia huyu punguani daah yani hata Mungu kwake hana thamani wajinga kama hawa wapo wengi sana Tanzania.
 
Back
Top Bottom