Maswali ya interview walioitwa NSSF

Saa 6 ,unaenda na kitambulisho

Ok poa, mi nitaenda tu hivyo hivyo bila ya serial number,itakua ni mara ya Pili sasa hawa jamaa kufanya nao interview, sehemu na position ileile. Maswali wakati ule yalikua kama ni professional,ila mpaka leo sijaelewa operation officer ni prof kwa maana ya kwamba kuna course yake!!?
 
Ok poa, mi nitaenda tu hivyo hivyo bila ya serial number,itakua ni mara ya Pili sasa hawa jamaa kufanya nao interview, sehemu na position ileile. Maswali wakati ule yalikua kama ni professional,ila mpaka leo sijaelewa operation
officer ni prof kwa maana ya kwamba kuna course yake!!?
Okey mkuu tugawane experience kidogo juu ya sample ya maswali waliyokua wakiuliza wakati huo ktk written interview. .
 
Ok poa, mi nitaenda tu hivyo hivyo bila ya serial number,itakua ni mara ya Pili sasa hawa jamaa kufanya nao interview, sehemu na position ileile. Maswali wakati ule yalikua kama ni professional,ila mpaka leo sijaelewa operation officer ni prof kwa maana ya kwamba kuna course yake!!?

Ndyo maana walisema ukiwa conversant na masuala ya social security.... Utakuwa na added advantage

hata hvyo binafsi nina uzoefu wa kama miezi 6 kama operations officer.. Lakn sijaitwa hata
 
Mkuu Bokohalamu share nasi angalau uzoefu wa maswali uliyokutana nayo utakuwa umetusaidia sana sisi wa mara ya kwanza.
 
Last edited by a moderator:
Ok poa, mi nitaenda tu hivyo hivyo bila ya serial number,itakua ni mara ya Pili sasa hawa jamaa kufanya nao interview, sehemu na position ileile. Maswali wakati ule yalikua kama ni professional,ila mpaka leo sijaelewa operation officer ni prof kwa maana ya kwamba kuna course yake!!?

Ni vyema ukahudhuria usiache
 
mi mbona nmeitwa ila majina yangu yote ya kipagani..anza ni hili hapa..jingine kasana nzyungu...nahis kuna mtu ametumwa aeneze propaganda za udini....
 
na anaejua huwa yanatoka maswali ya aina gani plz tupe idea hayo ya udini wanataka kuvunja wenzao moyo
 
Hapo kwenye time mbili tofauti ndio utata!Ama niende ya 08:30AM nikawasikilizie utaratibu wao na kuwaonyesha na sms ikibidi.
Mimi nilitumiwa email juzi lakini leo wamenitumia tena sms, nakushauri subiri watakutumia tu, ila kama hadi trh 13 watakuwa hawajakutumia nenda IFM saa mbili asubuhi unawezakuwa umepangwa kundi la asubuhi saa 2.30.
 
Wakati mwingine kuna haja ya kuwapa watoto wetu majina ya asili. Maana huu ubaguzi wa din tunakoenda siku

wanangu wote nitawapa majna ya asili ili kukabiliana na wabaguz ktk kazi
 
Ok poa, mi nitaenda tu hivyo hivyo bila ya serial number,itakua ni mara ya Pili sasa hawa jamaa kufanya nao interview, sehemu na position ileile. Maswali wakati ule yalikua kama ni professional,ila mpaka leo sijaelewa operation officer ni prof kwa maana ya kwamba kuna course yake!!?

tupe sample ya maswali waliyouliza wakati huo atleast tupate mwanga
 
Mpaka sasa kuna michango 22 ila hakuna hata moja iliyomjibu aliyeanzisha uzi loh cjui roho ya kwa nini au vipi kama nafasi ipo ipo tu ..wenye uzoefu na hizi interview wasaidieni wadogo zenu wakajaribu bahati zao mbona mnakwepa...mnataka mkapasue peke yenu ili
muwe shortlisted? Watu wanauzoefu ila wanapta
kimyaaa kama hawaoni vile so vizuri hivo...kama
mlikua bize kwa kazi haya basi leo sunday toeni
msaada bas siku ndo zinakatika hizo...karibuni.
 
Sitoacha kushukuru mamayangu kwakunipeleka shule

jpilinjema
 
wadau mbona kimya tupieni basi hata mawazo ili tujue maswali yao yakoje hao NSSF.
 
Mpaka sasa kuna michango 22 ila hakuna hata moja iliyomjibu aliyeanzisha uzi loh cjui roho ya kwa nini au vipi kama nafasi ipo ipo tu ..wenye uzoefu na hizi interview wasaidieni wadogo zenu wakajaribu bahati zao mbona mnakwepa...mnataka mkapasue peke yenu ili
muwe shortlisted? Watu wanauzoefu ila wanapta
kimyaaa kama hawaoni vile so vizuri hivo...kama
mlikua bize kwa kazi haya basi leo sunday toeni
msaada bas siku ndo zinakatika hizo...karibuni.

support u 100000000% kunywa beer kwa mangi.
 
Back
Top Bottom