Maswali ya [b]Kipima Joto[/b] ITV ni ya Kitoto.

mandella

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
3,048
3,227
Sijui muandaaji wa haya maswali huwa ana level gani ya Elimu , ila kiuhalisia maswali mengi ya Kipima Joto Huwa haya Logic kabisa . Na mengi si ya kichangamoto, unamuuliza mtu swali direct question kabisa na jibu lake unalijua .

Ni vyema mngetulia mkaja na Maswali mazuri , maudhui ya kipindi ni mazuri ila mnakiharibu, kupitia Kipima Joto Mngeweza kuja na matokeo Ya Tafiti Mbalibali kama Maoni ya Watanzania.
 
Back
Top Bottom