Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 11,625
- 22,004
Jamal Malinzi anakula bata saiz,ngoja uchaguzi wa tff ukikaribia atarudi kwenye huu uzi wakeJamal Malinzi amepotea humu.
Last edited by a moderator:
Jamal Malinzi anakula bata saiz,ngoja uchaguzi wa tff ukikaribia atarudi kwenye huu uzi wakeJamal Malinzi amepotea humu.
Hakuna kitu ambacho Jamal Malinzi namchukia kama kukubali tff kuwa ya watu fulani, ameifanya kuwa kundi la watu kujitungia sheria na kufanya lolote watakalo.J malinzi usituhadae wadau wa michezo kwa wale wanaotoa rushwa ile sheria feki ya kadi tatu za njano hapo kulikua na rushwa asilimia 100 halafu tff mkajifanya mnaifuta hiyo sheria bila maelezo ya kina inadhihirisha sheria ilikuwa mifukoni.
leo unamtafuta mtoa rushwa usitake kutufanye wadau wajinga swala la rushwa umeshindwa au unamtafuta mnyonge ndio umkamate?
Yaani huyu jamaa ametutia aibu vijana wenzake, ameshindwa hata kuiga machache mazuri kutoka kwa Tenga!!! Hivi umebaki muda gani kumaliza muda wake pale tff!!!!Amalize tu mda wake tukae kwa aman na tff mana hana jipya na ilo genge lake la walanguz
Viwanja siyo Vya CCM ni Vya halmashauri CCM walifanya uhuni nakuhakikishia ni swala la muda tu...Tutaanza na uwanja wa sheikh Amri AbeidJamal Malinzi mpira sio siasa usiogope kuwaambia ukweli wamiliki wa viwanja vya mikoani ambao ni CCM kuwa vibovu wavilekebishe kwa hadhi ya kuchezea mpira kama hawarekebishi vifutwe mara moja
Kilichofanyika Leo nini aibu,Hili gogoro la FDL hasa Geita Gold na Polisi Tbr ni la kufanyia ufumbuzi mapema kabla ya mechi za mwisho.
Yaani timu ambazo ndio wanufaikaji hazina viwanja na zina mpaka milioni 500 za kufanya usajili wa sifa, na wewe unakuja kutoa 'fatwah' kuwa CCM ndio ikarabati viwanja vyake yenyewe wanavyotumia watu wengine na wao hata tim hawana?Jamal Malinzi mpira sio siasa usiogope kuwaambia ukweli wamiliki wa viwanja vya mikoani ambao ni CCM kuwa vibovu wavilekebishe kwa hadhi ya kuchezea mpira kama hawarekebishi vifutwe mara moja