Maswali na majibu kuhusu Biblia (bible): Tukutane hapa

Unajua maana ya kusema kitu hakipo?

Unaposema hakuna hiyo inamaana HAKUNA....

Hilo ni hitimisho,huwezi kufikia hitimisho bila njia ya kukufikisha huko kwenye hitimisho,njia yako wewe iliyokufikisha huko ni "mgongano wa kimantiki" katika sifa za Mungu,kimsingi wewe hukupaswa kuwepo hapa kujadiliana na yoyote maana tayari umeshaamua HAKUNA ....

Unaposema let's say 2+2=5 ni sawa kwakuwa vyote 5 na 4 abalo ni jibu sahihi vyote vina exist kwenye theory za kimahesabu,HAKUNA haiexist mahali popote,ni badala ya HAKUNA ndio maana kwenye Falsafa HAKUNA HAKUNA....

Kwanini usikiri tu huna majibu na kukubali mungu anaesemwa kwenye biblia na quran kuwa anajipinga?

Kwanini utapetape wakati nafsi inakusuta?

Kwanini ujifanye unajua kumbe hujui?

Kwanini ulazimishe tuukubali upumbavu?

Any way ngoja nikusikilizie unavyotokwa tena na povu.
 
Kama kuamini kwamba yupo ni hatua, kuamini kwamba hayupo pia ni hatua.

What is your point?

Point yangu ni kama sote wawili tumeafiki kwamba yupo ndo tujadili swali la pili "kwa nini amjaze Farao upumbavu" na sio tuitumie sababu ya kumjaza farao upumbavu kukubali kwamba ni fallacy itakayoonyesha na kuthibitisha MUNGU hayupo.
 
Wapi nimeafiki kwamba yupo?
 
MBONA WE UMEJIHUSISHA?, na unanithibitishiaje kua hayo ni maandiko ya Mungu? na una uhakika gani kwamba hayajachakachuliwa na wajanja kutaka kutawala wengine? Je yasiyo ya Mungu ni yepi? Acha vitisho jenga hoja.. Tatizo unashikilia ulichozaliwa nacho kwenye jamii yako. usiongee vitu kwa msisimko wa dini ulizoletewa na weupe. jenga hoja.

hata jina lako linathibitisha upumbavu wako! TOMJELLY?! babaako akikuta mnapiga kelele sebulen na kuwaambia muache kelele nae ni mpiga kelele? qnaenda further kuwaambia madhara yake amekuwa punguani?
siwezi kujadili kama Mungu yupo au hayupo labda nijadili ni Mungu gani sahihi kwangu maana wapo wengi JAPO NIMEGUNDUA NI MMOJA TU (MUNGU WA BIBLIA)! Kuna budha, shiva, allah, nk lakini HAYUPO KAMA wa BIBLIA! JESUS CHRIST THE SAVIOUR!
 
Kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote, upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na uwezo wote wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?

Hujajibu swali hili.
 
Nakushauri kabla hujachangia usome kwanza kichwa cha habari.

Nikiangalia uchangiaji wako naona kama umejisahau ukadhani uko kwenye mkutano wa injili...

Hapa sio kwenye mahubiri ndugu zethumb
 
Last edited by a moderator:
Kabla mungu hajaumba ulimwengu, kabla ya shetani kuwapo na misingi ya ulimwengu kuwapo, mungu alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu wowote aliotaka.

Ukiwamo ulimwengu ambao mabaya hayawezekaniki.

Hakuumba ulimwengu huo ambao mabaya hayawezekaniki.

Kaumba huu ambao mabaya yanawezekanika.

Kwa nini?

Sijaona jibu la hili swali.

Kila kitu kilianza kikiwa perfect lakini kulikuwa na sababu ya ubaya kutokea katikati ya ukamilifu.Mfano angalia shetani alikuwa mkamilifu lakini aliharibikia njiani EZEKIEL28:13-19.Hapa utaona MUNGU ana maamuzi na anajua anachokifanya.
 
Sijauliza kilichotokea baada ya uumbaji.

Nimeuliza, kabla mungu hajaumba ulimwengu, alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao ubaya hauwezekaniki kutokea.

Kwa nini hakuumba ulimwengu huo?

Huwezi kusema kila kitu kilianza kikiwa perfect katika ulimwengu ambao ulianza kwa kuruhusu shetani kuwepo.

Ule uwezekano wa shetani kuwepo katika ulimwengu ni imperfection tayari.
 
Biblia ni mkusanyiko wa Babylonian,Egyptian ,Greek mythologies n.k ndio maana ukitaka kuvielewa baadhi ya vifungu vyake unatakiwa uwe na ujuzi wa ku-decode EGYPTOLOGY.
 
Unakubali uwepo wa mungu wa biblia/ quran?
 
Kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote, upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na uwezo wote wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?

Hujajibu swali hili.

Kwani kwako Mungu yupo?
 
Kwanini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote, upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na uwezo wote wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?

Hujajibu swali hili.

Tambua kuwa dunia ilivyoumbwa ilikuwa njema tena NJEMA SANA! Mwanzo 1:31, Adam mwanadamu wa kwanza akapandiwa bustani nzuri yenye kila kitu, Mwanzo 2:8-9! na kama zilivyo serikali za dunia Mungu nae alikuwa na serikali yake na sheria yake! Adam na Hawa walipewa amri Mwanzo 2:15-17, Hawa akakaidi agizo la Mungu Mwanzo 3:4-7. Matokeo yake wakafukuzwa bustanini na dunia ikalaaniwa kwa sababu ya mwanaume Mwanzo 3:17-19 na hapo ndo ukawa mwanzo wa mtu KUFA!

YOTE haya chanzo ni SHETANI!

shetani ni nani?
shetani alikuwa malaika mkubwa tu mbinguni , soma Isaya 14:12-19! Pia soma Ufunuo 12:7-9! shetani ndiye msingi wa mambo yote maovu unayoona sasa si ruhusa au mapenzi ya Mungu uyaonayo sasa!

Tumaini ni kuwa Yesu Kristo alifia dhambi ni kumkubali tu kama Bwana na mwokozi wako nawe utapata UZIMA wa milele..
 
Biblia ni mkusanyiko wa Babylonian,Egyptian ,Greek mythologies n.k ndio maana ukitaka kuvielewa baadhi ya vifungu vyake unatakiwa uwe na ujuzi wa ku-decode EGYPTOLOGY.

Hebu fafanua tukuelewe na utusaidie mkuu.....
 
Tambua kuwa dunia ilivyoumbwa ilikuwa njema tena NJEMA SANA! Mwanzo 1:31, Adam mwanadamu wa kwanza akapandiwa bustani nzuri yenye kila kitu, Mwanzo 2:8-9! na kama zilivyo serikali za dunia Mungu nae alikuwa na serikali yake na sheria yake! Adam na Hawa walipewa amri Mwanzo 2:15-17, Hawa akakaidi agizo la Mungu Mwanzo 3:4-7. Matokeo yake wakafukuzwa bustanini na dunia ikalaaniwa kwa sababu ya mwanaume Mwanzo 3:17-19 na hapo ndo ukawa mwanzo wa mtu KUFA!

YOTE haya chanzo ni SHETANI!

shetani ni nani?
shetani alikuwa malaika mkubwa tu mbinguni , soma Isaya 14:12-19! Pia soma Ufunuo 12:7-9! shetani ndiye msingi wa mambo yote maovu unayoona sasa si ruhusa au mapenzi ya Mungu uyaonayo sasa!

Tumaini ni kuwa Yesu Kristo alifia dhambi ni kumkubali tu kama Bwana na mwokozi wako nawe utapata UZIMA wa milele..

Shetani kaanzaanzaje kuwepo?
 
Back
Top Bottom