Maswali na majibu kuhusu Biblia (bible): Tukutane hapa

Hili jibu limenichekesha sanaaaa.....
Nimekumbuka neno katika biblia
" Mpe kileo yeye aliye karibu na kupotea, Kampe divai yeye alie na uchungu nafsini
Anywe akausahau umaskini wake, Asiikumbuke tena tabu yake"
Mithali 31: 6-7

Alinishangaza kwa kusema eti majibu tayari.
 
Kwa nini myu anayejua kwamba 2 + 2 = 4 asiweze kuonyesha kwamba 2 + 2 si 5 kwa kuanza na.

Let's say 2 + 2 =5
If 2 + 2 =5
Then 5- 2 = 2
But 5 - 2 = 3
Therefore 2 + 2 is not 5.

Unachisema wewe hapa ni kwamba mtu anayejua kwamba 2 + 2 =4 hawezi kuanza kwa kusema "Let's say 2 + 2 = 5" ili kuonyesha kwamba 2 + 2 is not 5.

This is called ummanent criticism. Unaonyesha uongo wa kitu kwa kuanza kama unakikubali, halafu unaonyesha mapungufu kutoka ndani.

Hesabu hazidanganyi.

Hakuna sababu ya mtu kutoanza na fallacy katika kuonyesha wapi kuna fallacy.

Unajua maana ya kusema kitu hakipo?

Unaposema hakuna hiyo inamaana HAKUNA....

Hilo ni hitimisho,huwezi kufikia hitimisho bila njia ya kukufikisha huko kwenye hitimisho,njia yako wewe iliyokufikisha huko ni "mgongano wa kimantiki" katika sifa za Mungu,kimsingi wewe hukupaswa kuwepo hapa kujadiliana na yoyote maana tayari umeshaamua HAKUNA ....

Unaposema let's say 2+2=5 ni sawa kwakuwa vyote 5 na 4 abalo ni jibu sahihi vyote vina exist kwenye theory za kimahesabu,HAKUNA haiexist mahali popote,ni badala ya HAKUNA ndio maana kwenye Falsafa HAKUNA HAKUNA....
 
Hivi unasemaje hakuna bas la kutoka dar kwenda Arusha halafu unadai upewe uthibitisho wa uwepo wa bas hilo?

Hivi hii kwako inakuwa ni sawa kabisa?

Yaani upewe namna ipi ushahidi wa kischokuwepo?

Hoja anazojenga kuhusu Mungu ni hoja za mtu anaepaswa awe anakubaliana na uwepo wa Mungu lakini sio huyu anaeelezwa kwenye Biblia,huyu yeye anasema hakubali kuwa yupo,unaanzaje kuuliza maswali kuhusu kisichokuwepo?

Unaposema chumbani kwako hakuna nyoka hii itakuwa na maana una ushahidi wa unachosema na wala hutachukua tahadhari yoyote kuhusu uwepo wa nyoka ndani mwako,si hayupo?

Kwanini unapoteza muda kujadili kisichokuwepo?

Anayejua basi lipo, hahitaji uthibitisho kwamba lipo. Kwa sababu anajua basi lipo.

Anayehitaji uthibitisho ni yule ambaye hakubali kwamba basi lipo.

You got it backwards.
 
Unajua maana ya kusema kitu hakipo?

Unaposema hakuna hiyo inamaana HAKUNA....

Hilo ni hitimisho,huwezi kufikia hitimisho bila njia ya kukufikisha huko kwenye hitimisho,njia yako wewe iliyokufikisha huko ni "mgongano wa kimantiki" katika sifa za Mungu,kimsingi wewe hukupaswa kuwepo hapa kujadiliana na yoyote maana tayari umeshaamua HAKUNA ....

Unaposema let's say 2+2=5 ni sawa kwakuwa vyote 5 na 4 abalo ni jibu sahihi vyote vina exist kwenye theory za kimahesabu,HAKUNA haiexist mahali popote,ni badala ya HAKUNA ndio maana kwenye Falsafa HAKUNA HAKUNA....

Hitimisho kwa msingi gani?

Kuna mtu anayejua kila kitu duniani?
 
Anayejua basi lipo, hahitaji uthibitisho kwamba lipo. Kwa sababu anajua basi lipo.

Anayehitaji uthibitisho ni yule ambaye hakubali kwamba basi lipo.

You got it backwards.

Mtu ambae amesema hakuna ni kichaa au mzima?
 
Huwezi kuona jibu kwasababu umekariri aina ya majibu ....

Kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote, upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na uwezo wote wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?

Hujajibu swali hili.
 
1.Je mkuu Unaweza thibitisha kwamba hapa Kuna mazungumzo mabaya ya kuharibu tabia njema??
2.Unabii ni maneno yote ya biblia au ni yale yaliyotamkwa tu na manabii??
3.Je challenge hizi hazikupi mwanga wowote? Ulishawahi jiuliza sababu ya atheist kuwa na ushawishi kwa marika yote huko magharibi?

Tabia njema ni nini? na mazungumzo mabaya ni yapi? John 14:6-Jesus said to him, “I am the way, the truth, and the life. No one comes to the Father except through Me."

Tabia njema ni kuamini kweli, kuishi kweli na kutenda kweli. Na kweli hiyo ni YESU KRISTO ambaye pia ni NJIA na UZIMA!
WHAT a wonderful message to unbelievers?! Jamani muamini Kristo haya mengine ni juhudi za JESUITS kuharibu neno la Mungu!

Mazungumzo mqbaya ni yale yanayo kwenda kinyume na kweli na kukana uwepo wa kweli (Mungu).

halafu logic ndogo tu tumia; kama unaamini kuna shetani, ambaye ni GIZA na KIFO (ethiestic thinking) kwa nini unashindwa kuamini uwepo wa Mungu?! ambaye ni NURU ma UZIMA???!
 
Kwanini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote, upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na uwezo wote wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?

Hujajibu swali hili.
 
Back
Top Bottom