Maswahiba wa Gaza ana kwa ana na rais Biden

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
28,046
36,027
Katika hali ambayo hakuitegemea, bwana Joe Biden kajikuta akibananishwa na wapenda haki kanisani:

Kwamba kalazimika kukiri kuwa hata yeye kukereka na kuwa anapambana na Natenyahu, usiku na mchana akimtaka aondoke Gaza?

Kwa hakika yahitaji upofu wa macho na mawazo uliopitiliza kushindwa kuuona udhwalimu wa wazi wa mwislael Gaza.
 
Sehemu pekee ambayo Israel inapata ugwaji mkono wa uovu wake ni kutoka warokole wakiafirica walio jaa upumbavu vichwani lakini wakiristo wengine wenye akili duniani kote wanapinga vitendo vya Israel.
Ukiona mtu yeyote ana unga mkono vitendo vya Israel dhidi ya wapalestina eti kwa msingi wa taifa teule katika dunia hii iliyo sitaarabika basi jua ana kasoro kubwa kutoka katika ubinadamu wake na anastahili kuitwa mnyama.
 
View: https://www.bbc.com/news/av/world-us-canada-67886694

Kwamba kalazimika kukiri kuwa hata yeye kukereka na kuwa anapambana na Natenyahu, usiku na mchana akimtaka aondoke Gaza?

Kwa hakika yahitaji upofu wa macho na mawazo uliopitiliza kushindwa kuuona udhwalimu wa wazi wa mwislael Gaza.

Marekani itaendeleza uuzwaji wa ammo kwa Israel na utoaji wa silaha za kuipiga Gaza wakati Biden anaendelea "kusikitishwa" na matendo ya Netanyahu.

Hapa tiyari Biden kashacheza na akili za mito ya pombe, ziko zinashangilia kwamba Biden kaachana na Israel sasa yuko upande wa Gaza. Shauri zenu
 
Sehemu pekee ambayo Israel inapata ugwaji mkono wa uovu wake ni kutoka warokole wakiafirica walio jaa upumbavu vichwani lakini wakiristo wengine wenye akili duniani kote wanapinga vitendo vya Israel.
Ukiona mtu yeyote ana unga mkono vitendo vya Israel dhidi ya wapalestina eti kwa msingi wa taifa teule katika dunia hii iliyo sitaarabika basi jua ana kasoro kubwa kutoka katika ubinadamu wake na anastahili kuitwa mnyama.

Nakazia.
 
Kusimama na haki hakutegemei nani mwingine yuko upande huo. Msimamo ni suala la kifalsafa zaidi.
 
Marekani itaendeleza uuzwaji wa ammo kwa Israel na utoaji wa silaha za kuipiga Gaza wakati Biden anaendelea "kusikitishwa" na matendo ya Netanyahu.

Hapa tiyari Biden kashacheza na akili za mito ya pombe, ziko zinashangilia kwamba Biden kaachana na Israel sasa yuko upande wa Gaza. Shauri zenu
Swala sio kuachana na gaza swala ni haki za binadamu za wakristo na waislamu wa parestina
 
Halafu anapeleka mabilion na military installation eti anaongea na Netanyahu

1. Wanaita constructive engagement.

2. Hata Qatar wengine hawamwelewi kuwahifadhi HAMAS na kuwapa ofisi kufanya vitu vyao hadharani.

3. Kauli rasmi zinabeba uzito kamili wa kilichopo mezani.
 
Itakuwa habari mbaya sana hii kwa kina MK254 na Ile mifia dini uchwara mingine
Umesikia alivyosema, rudia tena uone unachokisema si alichomaliza nacho.
Screenshot 2024-01-09 at 15.45.47.png
 
Umesikia alivyosema, rudia tena uone unachokisema si alichomaliza nacho. View attachment 2866252

1. Nshomile huwa tuna matatizo ya kudhani wajuzi ni sisi tu.

2. Nduguyo mwingine alikuwa hapa:

Vita Gaza katika mwelekeo mwema, busara inapoanza kurejea

3. Bila kusahau nilichoandika hakitoki kwenye maneno yake hayo tu, bali zikiwamo transcripts za kutosha kuhusu hilo.

4. Wacheni kukurupuka, shule hamkwenda peke yenu.

5. Muwe japo mna google kwa utambuzi zaidi!
 
Katika hali ambayo hakuitegemea, bwana Joe Biden kajikuta akibananishwa na wapenda haki kanisani:

Kwamba kalazimika kukiri kuwa hata yeye kukereka na kuwa anapambana na Natenyahu, usiku na mchana akimtaka aondoke Gaza?

Kwa hakika yahitaji upofu wa macho na mawazo uliopitiliza kushindwa kuuona udhwalimu wa wazi wa mwislael Gaza.

Mmekimbilia huku 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Sehemu pekee ambayo Israel inapata ugwaji mkono wa uovu wake ni kutoka warokole wakiafirica walio jaa upumbavu vichwani lakini wakiristo wengine wenye akili duniani kote wanapinga vitendo vya Israel.
Ukiona mtu yeyote ana unga mkono vitendo vya Israel dhidi ya wapalestina eti kwa msingi wa taifa teule katika dunia hii iliyo sitaarabika basi jua ana kasoro kubwa kutoka katika ubinadamu wake na anastahili kuitwa mnyama.
Unaikumbuka October 7? Unaunga mkono mashambulizi waliyofanya Hamas?
 
Sehemu pekee ambayo Israel inapata ugwaji mkono wa uovu wake ni kutoka warokole wakiafirica walio jaa upumbavu vichwani lakini wakiristo wengine wenye akili duniani kote wanapinga vitendo vya Israel.
Ukiona mtu yeyote ana unga mkono vitendo vya Israel dhidi ya wapalestina eti kwa msingi wa taifa teule katika dunia hii iliyo sitaarabika basi jua ana kasoro kubwa kutoka katika ubinadamu wake na anastahili kuitwa mnyama.
Sometimes nikiwa hapa jamiiforum huwa nakuwa na ushabiki wa mada na comment za baadhi ya wasomaji Ila nikirudi home nikiwa naangalia Al Jazeera huwa moyo unaumia Sana hasa nikiona watoto wadogo wenye umri kama wanangu wakifa Kwa mabomu..
Hawa HAMAS wangerudisha hao mateka pengine Israel angeweza kupiga tena Gaza
 
Thubutuuuu njia pekee yakudeal na israhell ni kupambana nae ingawaje wanaumia
Siku hamas wakisema waeke silaha chini kabla ya israhell basi ndio imekula kwao
 
Marekani itaendeleza uuzwaji wa ammo kwa Israel na utoaji wa silaha za kuipiga Gaza wakati Biden anaendelea "kusikitishwa" na matendo ya Netanyahu.

Hapa tiyari Biden kashacheza na akili za mito ya pombe, ziko zinashangilia kwamba Biden kaachana na Israel sasa yuko upande wa Gaza. Shauri zenu
Kwamba ammo za israhell zimemalizwa na hamas kwa miezi mitatu tu ndani ya ghaza
Tukiwa tunawaambia kwamba israhell ni over-rated mue munatuelewa
 
Marekani itaendeleza uuzwaji wa ammo kwa Israel na utoaji wa silaha za kuipiga Gaza wakati Biden anaendelea "kusikitishwa" na matendo ya Netanyahu.

Hapa tiyari Biden kashacheza na akili za mito ya pombe, ziko zinashangilia kwamba Biden kaachana na Israel sasa yuko upande wa Gaza. Shauri zenu
Kumbe akili za mito ya pombe zinaingiaga kanisani kuabudu?

Ww jamaa usipo acha nyeto basi tutakupoteza.
 
Back
Top Bottom