Masters degree ukiwa kazini(kwa mnaofahamu)

nachindundu

Member
Aug 6, 2012
17
17
ndugu zanguni,ninaomba kufahamu vyuo unavyoweza kusoma masters hapa tanzania ukiwa bado mfanyakazi,inaweza ikawa evening classes au distance learning kabisa.kwa anayefahamu naomba anijuze.my first option ni distance learning,,,,,hata kama kuna vyuo vya nje vyenye reputation nzuri,vinakubalika na TCU na ni affordable kwa mtanzania wa kawaida pia naomba mnijuze....nawashukuru sana,,,nangoja comment zenu
 
ESAMI-Eastern and Southern African Management Institute

HAKUNA KAMA HICHO AFRICA YOTE
 
nimeangalia program zao,na nimeuliza,nyingi ni evening classes,na bei zao ni juu.pia hawatoi huduma zao katika mkoa wa kilimanjaro(ambapo nipo kwa sasa)....tafadhali kama kuna mwingine anayefahamu mambo ya distance learning na akafanikiwa kupata masters yake awasiliane na mimi ili aweze kunisaidia,,,,natanguliza shukrani tena na tena,,,,still waiting for your comments
 
open university of tanzania. Office zao moshi kama kumbukumbu zangu zipo sawa wapo maeneo ya majengo karibu na shule ya j.k nyerere sec. Pitia tovuti yao www.out.ac.tz
 
Back
Top Bottom