Master J: 99% ya wasanii wa bongo ni 'mateja'

Naijua bangi vizuri toka nimeanza itumia bangi huu mwaka wa 22, niamin mm huwez kuvuta bang kama bangi alafu ukafanya mambo ya kijinga kwanza ukivuta unakuwa very smart hata kwenye kuongea utaongea kwa tahadhar sana na point sana....kama kichwa mbovu utakuwa unacheka sana hata kwenye jambo dogo... Nazungumzia bang kama bang na sio mtu umevuta bang anaenda kunywa pombe muda huo huo sigara kinachofuata lazima udate na ufanye mambo ya hovyo
 
...kuna Bhangi..
...kuna Unga Cocaine..
...kuna Pombe

Kizazi cha bongo flavor kiko hatarini...kampeni ianzishwa kupinga matumizi hayo kwa wasaniii
 
...kuna Bhangi..
...kuna Unga Cocaine..
...kuna Pombe

Kizazi cha bongo flavor kiko hatarini...kampeni ianzishwa kupinga matumizi hayo kwa wasaniii
Kweli kabisa mkuu. Bila kufanya hivyo taifa litaangamia muda si mrefu
 
Back
Top Bottom