Mdau mi nakushauri kama unajiamini acha kufikiria ajira na kusoma masters,tafta mtaji fungua ofic kwa elimu uliyonayo utafanikiwa tu.Brash hata viatu,utatoka.Utasoma masters alafu taanza kuzunguka na CV kila kukicha kutafta kazi badae utasema hii nchi ni mbaya kumbe we ndo mbaya.
Hata mm nahitaji mawazo manzuri, na hitaji na mm baadae nirudi school kwa ajili ya masters
Wesomea ukuu wa wilaya ..
Kusoma sana ni uoga wa maisha
Usije na negative idea..weka mawazo yako hapa ili kusaidia sio mimi tu hata kwa wengine ndio maana nikasema yenye soko..i.e soko linaweza kuwa la kuajiriwa au la kujiajiri..weka mawazo km Great thinker!
Naomba mawazo yenu wazee wa taarifa ni master degree gani naweza kusoma popote ambayo ina soko hapa nchini. Ni vyema ukanipa na wapi chuo kilipo.
Thanx in advance
ID yako na post yako zme fanana...
samahan lkn.
Usikate tamaa wala kutishwa Tamaa nenda kapige public health hapo mhimbili
Ama kwel wa2 wanafurahsha humu ndan kwa mashushu,wa2 2tashndwa hata kuomba msaada,maana mmhhhhhh!