Mastaa wa Kibongo huwekwa kinyumba?

Kaisiki

Member
Mar 12, 2010
23
0
wadau, hivyi ni kweli kuna baadhi ya masuperstars wa kibongo wameweka ndani na mashuga mumiez n shuga dadiez?
Maana kuna kipindi kilirushwa hivyi karibuni na ITV cha mastaa wa kibongo kuelezea wanavyojilinda dhidi ya ukimwi n mada moja wapo wakazungumzia jinsi wenzao (SIJUI KINA NANI HAO?) wanavyowaangusha kuwekwa ndani na hao mashuga dadiez/mummiez...
 
Ni maisha binafsi ila wako wengi ambao nimesikia kuwa wametiwa ndani na wengine pasipo official public recognition.
 
Wa-kike walio wengi ni "nyumba ndogo" au "mke wa pili"

Huitaji kuweka list yao - hiyo ni fact

Hii inatokana na jinsi walivyotokea kuwa "celeb-wa-bongo". Kwa mfano kupitia muziki, utangazaji wa TV/Redio, Mshindano ya Urembo, e.t.c. Ukifuatilia kwa karibu hiyo "carrier path" utagundua kuwa "kikwazo" kikubwa wanchokumbana nacho ni ku-turn into sex machine in return of some sort of favour. And at the end of a day hiyo "favour" inakuwa "nyumba ndogo"
 
Lack of professionalism affects these poor buddies!Mtu anabebwabebwa tu kwenye kazi, mwisho wa siku analazimika kuingia katika mahusiano yasiyo chaguo lake!..Poor them!
 
Mbona mnawaogopa kuwataja kwa majina au mashuga dadis na mamis ni mabosi wetu?
 
Hivi lakini mie nadhani penzi halichagui popote linaangukia.
kama wamewekwa ndani sababu ya pesa na mengineyo ni tatizo
lakini kama wako kwenye true love mmh!usiusemee moyo
 
Wa-kike walio wengi ni "nyumba ndogo" au "mke wa pili"

Huitaji kuweka list yao - hiyo ni fact

ku-turn into sex machine in return of some sort of favour. And at the end of a day hiyo "favour" inakuwa "nyumba ndogo"

Duh! hii kali....
 
kawaida sana ....wasanii wengi hawataki shida ya kuumiza kichwa kutafuta mwanamke bora,yeye anayemfagilia na pesa zake yeye kwake ni raha tu....mifano iko mengi sana....jaffarai na shyrose hawa vipi unaona!!!
 
Tusiwaonee mastaa!! Ni maisha binafsi ya mtu. Ukiacha mastaa, ni watu wabongo wangapi wanatafuta maisha kwa staili hii??

Umaskini na tamaa ya kupata mali ndo vinasababisha watu na baadhi ya mastaa kuwekwa kinyumba.
 
Back
Top Bottom