Huenda Khamis Mwinjuma (Mwana FA) ndiyo akawa Naibu Waziri wa ovyo wa Wizara aliyoko

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,738
109,177
"Ni kweli tuna Mechi ngumu na muhimu dhidi ya Algeria ila tumeamua kutotangaza Maandalizi yake ili kutowapa Presha Wachezaji kutoka kwa Mashabiki na Wanamichezo. Pia nichukue nafasi hii kuwataka Watanzania wenye kujua waliko Waganga wa Kienyeji wazuri wakawaambie watusaidie ili Taifa Stars (Tanzania) ishinde na ifuzu kucheza AFCON"

Amesema Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezoni Khamis Mwinjuma (alias) Mwana FA muda mfupi alipokuwa akiongea na Mtangazaji wa Clouds FM katika Kipindi cha Michezo cha Sports Extra hivi punde.

Halafu GENTAMYCINE akiwa Kutwa anawaambia kuwa hamna Akili mnanuna na Kunichukia.

Yaani sijawahi kuona Rais wa Tanzania mwenye bahati mbaya ya Kutuchagulia bogus Government Officials (hasa Mawaziri na Manaibu wao) kama Samia Suluhu Hassan na Serikali yake ya Awamu ya Sita.

Hovyo kabisa!
 
MWALIMU NYERERE ANAMALIZA KWA USHAIRI KWENYE KITABU CHAKE.

UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.

Ole wake Tanzania Tusipoisaidia
Niwezalo nimelifanya kushauri na kuonya nimeonya.

tahadhali nimetoa ushauri na kuonya nimeshatoka kitini zaidi nifanye nini.

Namlilia Jaalia atumulikie njia Tanzania ailinde WAOVU wasiishinde.

Amina Tena Amina Amina Tena amina

UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.
MWALIMU JK NYERERE
 
Hata asiposema, kwa waganga huwa mnaenda sana na mnaamini uwezo na nguvu zao. Ila mkiwa hadharani mnakejeli kwa kusema uchawi haupo wala waganga hawana msaada kwenye maisha ya watu. Unafiki mtupu! Bora MwanaFA asema wazi, bora Mwalawi nasikia wana Mahakama za wachawi.
 
"Ni kweli tuna Mechi ngumu na muhimu dhidi ya Algeria ila tumeamua kutotangaza Maandalizi yake ili kutowapa Presha Wachezaji kutoka kwa Mashabiki na Wanamichezo. Pia nichukue nafasi hii kuwataka Watanzania wenye kujua waliko Waganga wa Kienyeji wazuri wakawaambie watusaidie ili Taifa Stars ( Tanzania ) ishinde na ifuzu kucheza AFCON" amesema Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezoni Khamis Mwinjuma ( alias ) Mwana FA muda mfupi alipokuwa akiongea na Mtangazaji wa Clouds FM katika Kipindi cha Michezo cha Sports Extra hivi punde.

Halafu GENTAMYCINE akiwa Kutwa anawaambia kuwa hamna Akili mnanuna na Kunichukia.

Yaani sijawahi kuona Rais wa Tanzania mwenye bahati mbaya ya Kutuchagulia bogus Government Officials ( hasa Mawaziri na Manaibu wao ) kama Samia Suluhu Hassan na Serikali yake ya Awamu ya Sita.

Hovyo kabisa......!!
kama kasema hayo basi ni mjinga kabisa
 
"Ni kweli tuna Mechi ngumu na muhimu dhidi ya Algeria ila tumeamua kutotangaza Maandalizi yake ili kutowapa Presha Wachezaji kutoka kwa Mashabiki na Wanamichezo. Pia nichukue nafasi hii kuwataka Watanzania wenye kujua waliko Waganga wa Kienyeji wazuri wakawaambie watusaidie ili Taifa Stars (Tanzania) ishinde na ifuzu kucheza AFCON"

Amesema Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezoni Khamis Mwinjuma (alias) Mwana FA muda mfupi alipokuwa akiongea na Mtangazaji wa Clouds FM katika Kipindi cha Michezo cha Sports Extra hivi punde.

Halafu GENTAMYCINE akiwa Kutwa anawaambia kuwa hamna Akili mnanuna na Kunichukia.

Yaani sijawahi kuona Rais wa Tanzania mwenye bahati mbaya ya Kutuchagulia bogus Government Officials (hasa Mawaziri na Manaibu wao) kama Samia Suluhu Hassan na Serikali yake ya Awamu ya Sita.

Hovyo kabisa!
Kwakua umenena wewe mie niseme nini sasa Acha tu nikapige debe stand maana liinchi lenyewe halina dereva
 
"Ni kweli tuna Mechi ngumu na muhimu dhidi ya Algeria ila tumeamua kutotangaza Maandalizi yake ili kutowapa Presha Wachezaji kutoka kwa Mashabiki na Wanamichezo. Pia nichukue nafasi hii kuwataka Watanzania wenye kujua waliko Waganga wa Kienyeji wazuri wakawaambie watusaidie ili Taifa Stars (Tanzania) ishinde na ifuzu kucheza AFCON"

Amesema Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezoni Khamis Mwinjuma (alias) Mwana FA muda mfupi alipokuwa akiongea na Mtangazaji wa Clouds FM katika Kipindi cha Michezo cha Sports Extra hivi punde.

Halafu GENTAMYCINE akiwa Kutwa anawaambia kuwa hamna Akili mnanuna na Kunichukia.

Yaani sijawahi kuona Rais wa Tanzania mwenye bahati mbaya ya Kutuchagulia bogus Government Officials (hasa Mawaziri na Manaibu wao) kama Samia Suluhu Hassan na Serikali yake ya Awamu ya Sita.

Hovyo kabisa!
Alafu Mzee wangu Genta usijichukulie sharia mkononi, usichokijua Mwana FA Binamu ni Simba Damu Damu yaan yeye pia ni Makolo OG na ana hadi kadi ya uanachama, sasa inakuaje unamponda Kolobwenzi mwenzio?

Maana yake unajipondaponda mwenyewe wewe muwakilishi wa Makolo
 
Back
Top Bottom