Masogange awataja wamiliki wa mzigo aliokamatwa nao SA

Status
Not open for further replies.
kg 150 ni nyingi sana,ina maana hapa bongo kuna shena kubwa sehemu ya madawa haya mbona waibua mambo hii kitu inakuwa ngumu kuibuliwa?
 
Aliyeleta hii thread atofautiani na wale waliongolewa kucha na meno,,wakifika airport,,wote waliousika nawajua na nitawataja kwa majina,,baada ya wiki unamsikia tena kwenye media anasema ,,,namuachia mungu,,toeni umbulula wenu
 
Mkuu The Boss umeonekana sehemu ukimuonya Mange Kimambi kuwa asithubutu kuwataja asije akawaacha akina Kenzo yatima, then huku unataka sisi tuwataje!!

Show the way boss, vinginevyo utaonekana mwoga tu Kama waoga wengine
 
Yapo majina mawili ya watu mashuhuri hapa bongo, mmoja ni mtoto wa kigogo aishie huko na mwingine ni mmiliki wa Media House moja hapa bongo.
Yule mtoto wa Kingunge Ngombale aliyeratibu mazishi ya Ngwair kwa ukaribu kabisa na Clouds Media Group si mmoja wapo? Na Je, hawa wa pili nao hawamo?
 
The Boss: Kumtaja mtu kunahitaji uwe na ushahidi. Kama waliokamatwa wamewataja matajiri wao kwa mdomo na huna video ya kuthibitisha au alie wataja hakufanya hivyo kwa maandishi bila shaka hakuna atakae weza kuthubutu kuwataja. tatizo la andiko lako lipo ki-advocate mno kwa mbunge unae hoji kutajwa kwake. Umesomeka kama vile mtu ambae ametumwa kupima upepo juu ya hilo.
 
Nimeshangazwa mno na wana jf na watanzania kwa ujumla,kuna kesi inaendelea South Africa na waliokamatwa inadaiwa wamewataja waliowabebesha mzigo na hao wahusika wamekamatwa na wamefikishwa mahakama South Africa kwa mujibu wa habari mbali mbali za online.

wahusika ni mmoja mtoto wa kigogo na mwingine ni mmiliki wa Media house Tanzania,cha kushangaza kila mtu anaogopa hata kuwataja majina yaani kesi iko mahakamani South Africa lakini huku hakuna hata media wala mwandishi mmoja mwenye ujasiri wa hata kutaja tu majina ya watuhumiwa,na kila mtu akiombwa kutajiwa majina anaambiwa tu ni watu 'hatari wakubwa'

Wakati hayo yanaendelea watu tuko bize mno kumuandama mbunge wa Kinondoni Iddi Azzan ....hata kama hakuna kesi inayomhusu wala hakuwahi kukamatwa.

Tunamuandama sababu tu ametajwa na mtu tu.

Sasa tujiulize wale wawili wenye kesi South Africa kwa nini wanaogopwa mno?na huyu kwa nini tunamuandama bila woga?

Nini kinaendelea?

Ina maana nchi nzima tunawaogopa na kuwaheshimu mno wauza madawa hata kama wameshafikishwa mahakamani nchi nyingine tunaogopa hata kuwaandika?

Magazetini na kuwataja bila woga?seriously?

Mkuu ninavyofikiri hawa waliotajwa SA inawezekana kabisa ni mwelekeo wa kumpata LIPAPA la biashara hii ndiyo maana kunakuwa na ugumu wa kutaja majina haya, kama Watanzania tungekuwa na uwezo tungewaomba Wamarekani watusaidie kukamata wahusika wakuu kama walivyofanya kwa Noriega, hata kama nchi ikitetereka ni sawa tu lakini tutaondokana na kadhia hii ya kuharibiwa kwa vijana wetu na jina la nchi yetu.
 
Hivi nani anamiliki Tanzania Media House? Tuanzie hapo.

Wamesema one of the media house

so shortlist iko hivi

1 Reginald Mengi
2.Joseph Kusaga
2.owner wa African media group
3.owner freemedia -mbowe
4 owner wa other media houses
 
huyo ni mtoto wa familia ya Kinjekitile, maana hata Marehemu Ngweir alibeba mzigo wake.
 
Hata humu basi wanaogopwa! Maana katika sehemu zote ambazo watu wako huru kuzungumza bila hofu kubwa ya retribution ni hapa JF na kwenye sehemu zingine kama hizi.

Lakini kumbe hata kwa kutumia noms de plume watu bado ni waoga tu! SMDH.
 
xo clouds wanahusika na madawa.jamani me siwajui anaewajua anipm mi ntawafungulia thred kabisaaa
 
The Boss jua hapo kuna kitu kinafichwa au Iddi Azan alitajwa kuficha hawa wa South Africa wasitajwe watu washupalie huyu wa hapa waachane na wale wa South Africa na ndo maana kila anayeandika anaaacha dot bila kutaja ni nani huyo mtoto wa kigogo au huyo mmiliki wa media house

Anayezuia hao wa South Africa usiwataje ni nani? Masogange na yeye atoe waraka wake wa wazi kama walivyofanya wenzake wa Hong Kong, kwani hao wangine wanatajwa kwasababu source iliwataka kwa waraka ambao wote hapa tumeusoma... Lakini pia Iddi Azzan Kutajwa haina maana nikweli ni Muuza Unga hadi mahakama itakapo thibitisha, huo ndo utawala wa sheria.. Ila Kwa heshima yake tu mwanyewe angejivua Ubunge aombe uchunguzi huru dhidi yake.. Wananchi wangejenga imani zaidi na yeye, lakini akiendelea kukaa tu na huku kinindoni ikiwa ni moja ya wilaya zilizolemewa na MATEJA kwanini watu wasiamini kuwa ni Muuza Unga?
 
Dr Slaa ngoja atatuletea list of shame ya wauza unga....anaandaa ushahidi siunajua yeye hawezi kufungwa?
 
Wamesema one of the media house

so shortlist iko hivi

1 Reginald Mengi
2.Joseph Kusaga
2.owner wa African media group
3.owner freemedia -mbowe
4 owner wa other media houses

ungepeleka huu uzi jukwaa la tetesi uwataje boss then kisheria ungekuwa uko ok since ni tetesi tu hazijawa confirmed......kuna mdau hapo kasema ulionekana kwa muke ya muzungu ukimwambia asitaje wasije kumpoteza sasa si ungemwambia shosti wako akutajie kwa siri tu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom