maskini rejao...

TaiJike, haya mambo siyo ya kuyazungumza hadharani bana...twende zetu chemba tukayamalize!!
Rejao utakuja na ile simu uliyoniahidi siku ile nilivyokukuta ukasema nisimwambie Canta? sasa najaribu kuficha siri kwani ninakuwa.
 
Last edited by a moderator:
huyu Rejao nilimwambia, wanawake wengine wana mikosi, ona sasa siku hizi kafulia.

Hata macho haya-sparkle tena.
 
Rejao utakuja na ile simu uliyoniahidi siku ile nilivyokukuta ukasema nisimwambie Canta? sasa najaribu kuficha siri kwani ninakuwa.

TaiJike mbona ndio ushanambia my dia,ujue nn kumbe Rejao wangu ni wa ukweli hata ww unamzimia,bonge la credit kwa swty wangu!kuna Galax moja alirudi nayo jana nimemtumia mama yangu kule kijiji ww endelea kusubiri lol!
 
Last edited by a moderator:
huyu Rejao nilimwambia, wanawake wengine wana mikosi, ona sasa siku hizi kafulia.

Hata macho haya-sparkle tena.

x-mke mwenza Kongosho hata wewe ungaungana na wasioitakia jena ndoa yangu mwee mweee! Tumethubutu,tumeweza na tunasonga mbele!
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha. . . besti maridadi kasema eti ye ni wako ila muda tuhaujafika. Anataka mpeane muda wa kutosha kujiachia alafu ndio mtulie pamoja.

Hata hivyo sie bado maunderground Lizzy......hatuhitaji show off sana!! lol
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom