Elections 2010 Maskini Mbatia, aunga mkono tafiti za REDET na SYNOVATE!

Ngoja niangalie mpaka mwisho, ila mbatia niliyemheshimu sio huyu, he completely out of control. Hana kitu wanajaribu kumpandisha profile ashinde kawe, sijui kama watu wa kawe wanahitaji mtu kama huyu ambaye angefaa aende kanisani, hajui kama anategwa kabisa ni kilaza kabisa

Mbatia sisi tunaekaanae mbezi beach tunamfahamu hata kanisani tunasalinae misa ya pili, huyu anagombea jimbo letu ili kuisaidia CCM kushinda kwa kugawa kura za upinzani. Ameahidi kuleta boti ya kusafirisha abiria kutoka kunduchi mpaka Posta Halima Mdee na DR Slaa ndio chaguo la wengi huku ingawa mchuano ni mkali kwasababu Mbatia anagawa kura za upinzani.
 
Kuna WAPUUZI wachache walifanya kampeni kuchelewesha uhuru wetu nyakati za nyerere, lakini uhuru ulipokuja wakabadilisha chorus na kujiunga na furaha ya kuwa huru.
Mbatia siyo tija kwa kipindi hiki na sidhani kama tunamhitaji sana kwenye historia na ramani ya mageuzi nchini.
ndo mana nafahamu sasa kwa nini Marando kajiondoa huko.

nasikia ana mke na watoto. aliwapataje hao?
 
jamani, mara nyingi njaa humfanya mtu kuwa kama kilaza fulani, huwa anapotezafahamu kabisa! If you can't fight ur enemy join him! kama falsafa yake ni hii, kwa nini bado anajiita kiongozi wa chama cha upinzani! Tz kuna wtu hwafai kbsa
 
Kwa sisi tunaomjua Mbatia wetu huyu, na kwa aliyoyasema TBC1, ndio James hasa! The guy is hypocrite, money monger, deciptive, property grabber, vindictive, but above all a corrupt boy. Mwaka 2003 alipokea 70m kutoka CCM pale alipowawekea pingamizi wagombea wa CUF wakati wa chaguzi za marudio huko Pemba. Hakujali kwenda Kigoma wala kupeleka pesa katika kampeni za Kiffu Gulamhusseini aliyekuwa akigmbea kurudisha kiti cha NCCR-Mageuzi kilichokuwa kimetenguliwa na mahakama hapo awali. James Mbatia alichukua na kupeleka pesa zote katika kampeni za Pemba wakati akijua kuwa chama chake kisingeshinda kiti hata kimoja kutoka huko. Alitumikia mradi wake tu, basi. Ni Mpitabakana tu, rafiki yake wa siku nyingi, ndiye aliyempatia shs. 1m tu, basi. Kiffu alishindea kwa kura kidogo tu, na alipokata tamaa, naye baadaye kidogo alihamia CCM.
Huyo ndiye James Mbatia, rafiki yangu wa siku nyingi tukiwa na Lema (sijui yuko wapi?), Idrisa Al-Nuru (RIP), Harun Kimaro (RIP), Mosena Nyambabe (another lost fellow) na wanaharakati/wahandisi wanafunzi wengine Chuo Kikuu ca Dar es Salaam kunako 1991.
Naamini hata mradi wa TBC1 juzi atakuwa alipewa kitu kidogo!
 
Mimi pia nimeangalia TBC, Kweli kabisa huyu jamaa ni pandikizi. Wana Kawe msimpe kura zenu. Tapeli huyo.
 
Will I eat the flesh of the bulls or drink the blood of the goats?

Offer God your thanksgiving and pay your vows to the Most High

Call upon Me on the day of trouble I will deliver you and you shall glorify ME...



 
Namshauri James Mbatia amfuate "mentor" wake ktk siasa za Mageuzi, yaani Mabere Nyaucho Marando: Ajiunge na Chadema.

Kama haiwezekani kabla ya tarehe 31 Oktoba 2010, basi afanye hivyo baada ya Uchaguzi Mkuu. NCCR-Mageuzi haina jipya: Kwa sera na misimamo, wao ni Chadema tu, ila labda wafuasi wa Chadema na viongozi wake hawatokei Usalama wa Taifa.
Hivi unataka upupu huu uende Chadema. Chadema siyo dodoki Acha aende ccm.
 
Kilasana unajua kinachoendelea kwenye hii maada? Funga domo ndg yangu! Cc Chadema hatuchukui walioishiwa sera na mtazamo wa kimaendeleo kwa maana ya opposition part! Kikwetu mbatia maana yake ni mtu anayefumbatia maovu cjui huko kwao inamaana gani! Huchelelewi kusema kuwa naleta udini!!!!
 
Kuna WAPUUZI wachache walifanya kampeni kuchelewesha uhuru wetu nyakati za nyerere, lakini uhuru ulipokuja wakabadilisha chorus na kujiunga na furaha ya kuwa huru.
Mbatia siyo tija kwa kipindi hiki na sidhani kama tunamhitaji sana kwenye historia na ramani ya mageuzi nchini.
ndo mana nafahamu sasa kwa nini Marando kajiondoa huko.

nasikia ana mke na watoto. aliwapataje hao?

Mke alifukuzwa NSSF kwa sababu ya udini wa watu wa ccm pale NSSF, lakini jamaa halielewi chochote. Naweza kuliita hili jamaa ni zezeta tu! Mbatia hana maana kabisa
 
jamaa ana mpango na ccm anaongooza kwa kuchana picha za wengine

HANA TOFAUTI NA MREMA NA LIPUMBA MANA HAWA NI CCCM B
 
damn! Ninyi wenyewe mmeshasema TBC1. Hata Silaa akienda kuhojiwa pale itamlazimu kufuata maelekezo ya Tido. Ukifuatilia Mbatia na Mrema utagundua kuwa wanatokea kule kwa Mareale aliyekuwa collaborator enzi za ukoloni na pia alipinga mpango wa kuipatia Tanganyika uhuru na kudai uhuru wa watu wa Marangu pekee. Ni wabinafsi hasa na ndio wanaofanya wachaga tuonekane wakabila.
 
RA na genge lao sio mchezo, wamemmaliza, Mtikila, Mrema, mwanasiasa kijana wa Chadema na sasa Mbatia hoi, lakini hawawezi kushindana na nguvu ya ukweli
 
Mke alifukuzwa NSSF kwa sababu ya udini wa watu wa ccm pale NSSF, lakini jamaa halielewi chochote. Naweza kuliita hili jamaa ni zezeta tu! Mbatia hana maana kabisa
kwa hiyo jamaa ni mwanaume suruali? nawasiwasi jamaa yetu anaweza akawa tupo naye kimwili lakini kiroho yupo kwa mola. Hivi huyo mke bado anaye mpaka leo? na watoto je?

quote_icon.png
Originally Posted by kapotolo

Jamaa choko!
hii ni sifa ya wapinzani wote, usimuonee mbatia peke yake.
nasikia na baba yako naye ni mpinzani.....

damn! Ninyi wenyewe mmeshasema TBC1. Hata Silaa akienda kuhojiwa pale itamlazimu kufuata maelekezo ya Tido. Ukifuatilia Mbatia na Mrema utagundua kuwa wanatokea kule kwa Mareale aliyekuwa collaborator enzi za ukoloni na pia alipinga mpango wa kuipatia Tanganyika uhuru na kudai uhuru wa watu wa Marangu pekee. Ni wabinafsi hasa na ndio wanaofanya wachaga tuonekane wakabila.
Mkuu Isack. wala usikonde. nilishasema hapo mwanzo wa msimu wa kampeni kwamba kabla jua halijatua kila ng'ombe atarejea zizini kwake. Sasa ccm wanatumia majeshi ya akiba. yataisha yote na wataanza kuokota makopo siku chache kabla ya uchaguzi


 
Jamaa choko!
alijisemea MREMA alipohamia TLP watu hawakumwelewa. sasa weye unasema tena tunajitahidi kukuelewa.
hebu tupe mwangaza nani aliwahi kujiexpress kwa mheshimiwa mwenyekiti? sipati picha akiwa amepigishwa magoti (kama ni kweli jamaa ni lunchbox) na kugongelewa msumari wa middle joint...
 
Mbatia ameishiwa unaweza kuta ameahidiwa kitita,kwanza mkutano aliokuwa anauhutubia watu walikuwa kiduchu mpaka nkadhani labda ana kikao na wanachama wa tawi lake.
Alafu mwisho wa siku anajiita mpinzani,yaani mpaka leo haelewi UFISADI wa mali zetu.
Njaa kitu kingine jamani unaweza ata wakana wazazi wako kama ukiaidiwa some billions na akina RA
 
Back
Top Bottom