Maskini haka ka-Tembo katoto...!!

stineriga

JF-Expert Member
Jun 20, 2012
2,172
886
elephants-story02.jpg
 
Hapo nadhani huyo mamba aliingia choo cha kike! nina uhakika hiyo ndio ilikuwa siku yake ya mwisho hapa duniani.

hiyo picha ya pili huyo mama na mtoto walifanikiwa kuchoropoka baada ya mtoto kumkanyaga mamba mgongoni, full clip yake ipo ktk youtube bahati mbaya nipo kwa mobile ningeweza kuweka link.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom