Maskini Gadafi, kumbe hiki ndio kilicho Muondoa na Kuhakikisha anauliwa haraka haraka

Ndugu achana naye huyo UDINI unamsumbua sana yaani hawezi kulala mpaka ameusema vibaya Ukristo.

Mi nimemuuliza tu ili aniambie huyo Paulo anaemwita shetani ni nani ili nami nimjue,au mkuu wewe hutaki kumjua shetani?

Maana inaonekana anavyomshambulia anamjua sana maana hadi naogopa

Najua anajua hata historia yake ndio maana nimemtaka aniambie

Tumsubiri tu mkuu!!
 
Nimekuambia hisia zako za kidini uziweke pembeni na unijibu ninayokuuliza kwakuwa sipo hapa kwaajili ya haya

Nimekuuliza,wewe unamjuaje Paulo?

Achana na aliyemtuma kwakuwa sijakuuliza alitumwa na nani,kwanza sijui hata kama Paulo alitumwa

Hebu nijibu bana!


Paulo unaemjua wewe ni yupi,mbona unauliza B+A wakati jibu lake ni A+B.
 
Umeandika mengi Sana, japo umekimbia hoja yangu kuwa "Mungu si mkatiri" kama unavyodhani - yeye Mungu ni Pendo, hivyo sielewi imekuwaje umeamua kutoa stress zako kupitia Paulo.
2. Mimi sijakulazimisha ukubali au ukatee mafundisho ya Paulo, ila ukweli unabaki kuwa Biblia ni neno la Mungu na yakiwemo Maneno ya Paulo.
3. Ufahamu kuwa Paulo alikuwa mtume wa Mungu na mueneza dini kama alivyo kuwa Mtume Mohammad ambaye alikuwa mweneza dini. Adiosamigo
 
Last edited by a moderator:
Ika tuache masihara waarabu ni watu katili sana.. Na hii ndo imeleta dosari ktk uislam...


just imagine kundi la janjaweed walivyoua waislam wenzao sudan kwa tofaut ya rangi

alshaabab
ISIS
ALQAEDA N.K
 
Msome huyu jamaa anavyohalalisha ukatili kwa kusema eti Mungu ndiye karuhusu
Hao wote wamefata mafunzo ya Paulo.

Dalili ni hizi hapa kutoka vitabu vyenu.

1- Mungu ameturuhusu sisi kubakia "duniani", dunia ambayo inatujaribu tusiwe na upendo au kupendeka, tuwe na huzuni, tuwe na wasiwasi, tusivumilie, tusiwe wema, tuwe waovu, tusiwe waaminifu, tuwe wakali na wenye kujitosheleza.

2- Ingawa Mungu ametujaza kwa Roho Wake, na kutupa asili mpya na kuvunja nguvu za dhambi juu yetu, Yeye pia ameruhusu mabaki ya asili yetu ya kale ya dhambi kubakia ndani yetu. Kitu hicho Paulo anakiita "mwili".

3-Ingawa tumekombolewa kutoka ufalme wa Shetani na sisi si watoto wake tena kiroho, tunajikuta kama wale Wakristo wa zamani tukiwa katika uwanja mkubwa uliojaa simba wanaounguruma, wenye lengo la kutumeza (ona 1Petro 5:8). Shetani na mapepo yake hutusumbua na kutunyanyasa na kutujaribu ili tufanye yale ambayo Mungu amekataza.

Ika tuache masihara waarabu ni watu katili sana.. Na hii ndo imeleta dosari ktk uislam...


just imagine kundi la janjaweed walivyoua waislam wenzao sudan kwa tofaut ya rangi

alshaabab
ISIS
ALQAEDA N.K
yaani jamaa ni wabaya sana,hawana Uungu wowote na hata hofu ya Mungu hawana, inawezekana Mungu wao anaishi na wale jamaa wa Panya road kule kwa alimboa
 
Huyo alikuwa naye Jinga lolo tu, Mungu alimpa mali ili awe anazitumia kusaidia wale masikini wa kislam, na kusaidia mataifa ya kisalm, yeye akaenda mpa Sakouz, siku zote kama unaenda kinyume na Quran lazima utakipata tu.

Surat 'Āli `Imrān (Family of Imran) - سورة آل عمران

3_28.png
Sahih International
Let not believers take disbelievers as allies rather than believers. And whoever [of you] does that has nothing with Allah , except when taking precaution against them in prudence. And Allah warns you of Himself, and to Allah is the [final] destination.

Nenda zako huku shetani wewe.natamani ningekuona nikutukane matusi yote mjinga firauni ,mngese . Mungu usimfananihe na huyo allah wenu mpumbavu wewe usie kuwa na akili.

Mali zote zilizopo duniani ni mali yake Mwenyezi Mungu na utukufu wake. Na Gadafi mwenyezi Mungu amrehemu alifanya mema kwa maskini. Na of course alijaribu kuonokoa africa.
Gadafi ni shujaa.
Sio baba yenu riziwani anaenda kulamba viatu vya wazungu huko.

Unasema kusaidia waislam pekee? Nchi gani haina waislam? Wewe unadhani saudi ingeendlea kama ingeuz mafuta kwa waislam wee mwanaharumu?

Nimechukua sana. Na Mwenyezi Mungu akue huko ulipo shetani mkubwa wewe.
 
Now its tupambane na umaskini,ujinga,maradhi na udini!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Fungu la kukosa sie in the middle of poverty bado tunaangaliana kwa ukristo na uislamu?

mi hawa wapuuzi wanaopenda kujadili kila kwa mtizamo WA kidini wananikera,na hii western Sana in order to divide & rule,binafsi namkubali Sana Gadafi,Rip kamanda,kuhusu makundi kama alqaeda kuwalaumu muarab na kumuacha mmarekani ambaye ndiye ameriunda hii haingii akilini,hata IS chanzo Ni hao walioivamia irak wakati WA sadam na kuivuraga,tujenge utamaduni wa kuangalia chanzo na sio propaganda
 
mi hawa wapuuzi wanaopenda kujadili kila kwa mtizamo WA kidini wananikera,na hii western Sana in order to divide & rule,binafsi namkubali Sana Gadafi,Rip kamanda,kuhusu makundi kama alqaeda kuwalaumu muarab na kumuacha mmarekani ambaye ndiye ameriunda hii haingii akilini,hata IS chanzo Ni hao walioivamia irak wakati WA sadam na kuivuraga,tujenge utamaduni wa kuangalia chanzo na sio propaganda

Point!!! if u can free up ur mind unaweza kujua ni mchezo wa wenye nguvu kwa interest zao wenyewe.

Hata kidogo hatuwezi kujua kitu kama tukiwa nyuma ya imani zetu. Gadaffi amefanya yake ya kutosha kwa nchi yake,tumuombe mungu tupate kiongozi mwenye uzalendo atakaeifanya tz nch ya maziwa, sio kulalama juu ya imani za dini ambazo kwa experiences huwa tunaishia kutukanana na kuenda kinyume na miiko ya dini zenyewe.
 
Gadafi alistahili kifo wala sina masikitiko yoyote dhidi yake ni bahati mbaya viongozi dhaifu wa nchi nyingi za kiafrika walikubali kumyeyekea kwasababu ya fedha za mafuta.
Kwani mtu akikosea ndio anastahiki kifo makubwa, hiyo Libya yenyewe haijatulia na watamkumbuka...
 
Ohhh VERY SAD, Hashakum wandugu wengi mnaongea kwa hisia na dhaanna potofu, Kumraadhi kwenu na Samahani sina nia ya kumkwaza yeyote, Kwa mukhtasar na kwa uthibiti na dalili za wazi kabisa, mrhm.Col: MuammarGaddafi hakuwa mdini, maana hakuwa na elimu ya dini kbs. Kama mtasema kusaidi mbona alisaidia hata makundi ya kujikomboa KM:- IRA, FNLR,SANDANISTA,MORO,BASQUE,nk (ULAYA,AMRC-KUSINI,ASIA,AFRIKA) !! Tatizo lake mzee alikuwa amevimbiwa utawala (miaka 42 na ushee) hakuwa akijatambua huko alikotoka kuwa Once alikuwa mwanajeshi !! Hizi ni kasumba za waJESHI WAKISHIKA UTAWALA
sidhani km elimu ya dini ndio inakufanya uwe mdini.Udini wa mtu ni kasumba na ujinga pia.Ghaddafi hakuficha udini wake.Ulichokiandika hapa ni km unadhani wengine ni watoto kiasi cha kulewa hisia zako.Ghaddafi aliwahi sema uganda Yesu angekuwa hai angekuwa mfuasi wa mohamad.
 
sidhani km elimu ya dini ndio inakufanya uwe mdini.Udini wa mtu ni kasumba na ujinga pia.Ghaddafi hakuficha udini wake.Ulichokiandika hapa ni km unadhani wengine ni watoto kiasi cha kulewa hisia zako.Ghaddafi aliwahi sema uganda Yesu angekuwa hai angekuwa mfuasi wa mohamad.
Mkuu, yapo mambo viongozi wengi hususna wa kiafrika huropoka ropoka bila kujua walisemalo !! Nakubaliana nawe kwa ufafanuzi wako. Kwa vyovote vile hakuna Mtu asiye kuwa na upungufu, kasoro zake...kama yupo mtu PURE CLEAN tujuze !!
 
Back
Top Bottom