Maskini Cloud Fm!

MALUNGU

JF-Expert Member
Jun 2, 2011
250
97
Cloud Fm ilikuwa inapendwa sana hasa na vijana! Kipindi cha Jahazi Asilia hakina mvuto tena! Tatizo ni nani hapo?

apo unataka kulenga ...KWA SABABU GADNA AYUPO....mhh mbona skuiz wanajitaid bwana...
wamekuja wale makaka wawili wasiwasi sjui na nani yule wapo poa

wale wadori wawili sjui ni s=wasagaji manake ata awaeleweki wametolewa...manake nilkua sion wanafanya nin pale zaidi ya kuongea upupu wakat kuna mada nzito za kutangaza wao kucheka na utoto mwinng studion...

nw bora kdg...

kp gud u guys . ma sdear kibonge nw days anajirekebsha...kp t up km kitu uki9jui kipotezee au google kdg upate tip kuliko kujifanya wajua kila kitu ukisikia TEMBELE WE waanza kuliongelea et tembele lina miguu 6 linakula mafuta kidg ...linadumu ahh wap wakat tembele ni kitu kngne kabsa....bt nw umepunguza kdg ...gudboy kp t up

wsh u lak clouds cz ur real creative n entetang radio..mi sichok kusikiliza ila naishia sa 10..

naanzaga na hando ila mdada yule mswangilish ananikwaza nampenda pj,then mabishostito wananikosha dina,gea na dahuu AHH PALE NDO KABSAA nkikosa heka heka mi nakonda jaman....bi poza pale kat na wanaume wamenambia....:majani7:mi raha tu

ikja mchana sasa baba johniiii ayayayay hainaga majoto mi kimetameta tu NA stv b n dada samak....
ikja jahaz ahh kdg napunguza SAUT IKIFIKA SA1 AHH NDO KABSA .......

MNAJITAIDI KWA KWELI ILA PUNGUZEN USISIEM

MUNGU AWABARIKI

jaman dj bula dah wa ukweli..hongera baba

2b honest yaan nikikaa dk 5 afu ikapigwa mizik mfululizo mfano wknd ivi naweza nkakwambia sasa ivi bula kaikamatia mashine..

bula anajua kupangilia..ata km nikitaka kutoka home na nkajua bula anaride dude basi ni lazima nibebe ear 4n zangu cz najua ntafura na ntasahaulishwa maden yangu yote....

anajua kumix
anajua kupangilia nyimbo
akiwepo studio autathubutu kubadili station

clouds mnajitaidi ..MAPUNGUFU YAPO KWA WACHACHE NA KDG SO TUWAPE GWALA ZAO JAMAN....

apo unataka kulenga ...KWA SABABU GADNA AYUPO....mhh mbona skuiz wanajitaid bwana...

wamekuja wale makaka wawili wasiwasi sjui na nani yule wapo poa

wale wadori wawili sjui ni s=wasagaji manake ata awaeleweki wametolewa...manake nilkua sion wanafanya nin pale zaidi ya kuongea upupu wakat kuna mada nzito za kutangaza wao kucheka na utoto mwinng studion...

bangi la wapi umevuta leo?la meru au singidani au itigi au chunya
nw bora kdg...

kp gud u guys . ma sdear kibonge nw days anajirekebsha...kp t up km kitu uki9jui kipotezee au google kdg upate tip kuliko kujifanya wajua kila kitu ukisikia TEMBELE WE waanza kuliongelea et tembele lina miguu 6 linakula mafuta kidg ...linadumu ahh wap wakat tembele ni kitu kngne kabsa....bt nw umepunguza kdg ...gudboy kp t up

wsh u lak clouds cz ur real creative n entetang radio..mi sichok kusikiliza ila naishia sa 10..

naanzaga na hando ila mdada yule mswangilish ananikwaza nampenda pj,then mabishostito wananikosha dina,gea na dahuu AHH PALE NDO KABSAA nkikosa heka heka mi nakonda jaman....bi poza pale kat na wanaume wamenambia....mi raha tu

ikja mchana sasa baba johniiii ayayayay hainaga majoto mi kimetameta tu NA stv b n dada samak....

ikja jahaz ahh kdg napunguza SAUT IKIFIKA SA1 AHH NDO KABSA .......

MNAJITAIDI KWA KWELI ILA PUNGUZEN USISIEM

MUNGU AWABARIKI

....hii naona imekaa ki-beijing zaidi!! samahani napita njia tu! :mwaaah:

Jaribio la hisabati.
jibu swali moja tu.
1.9+9
2.8+7
MAJIBU
1.18
2.15
MARKING
0%
Tatizo kipindi cha Jahazi!

[QUOTE=chipanga;....hii naona imekaa ki-beijing zaidi!! samahani napita njia tu! :mwaaah:

Una utani na wadai haki?

Pasipo kumung'unya maneno,hii radio imeshuka umaarufu,na kutopendwa na vijana,pale ilipoanza kujiingiza kwenye ushabiki wa kisiasa,na mbaya zaidi ikitumiwa na kile chama cha magamba!!
Na amini usiamini itapotea kabisa...yetu macho!!

Tatizo muda huo wengi tunakua kwenye gari, radio nyingi zina shika radio station chache, sbo kwa mimi inakua sijui nisikilize nini zaidi ya Jahazi .
Kiukweli napenda sana kuzikiliza kipindi hicho , sio kwasababu ya ubora wake, napenda kusikiliza leo Kibonde atanibore kwa lipi, yaani ukimsikiliza unapandwa na hasira huku ina ku entertain .Leo nilisubiri Kibonde aseme nini kuhusu Mbowe kibaya kakimbia ana hofu kutoa comments zake .Vipi wale mademu kina Asma na Mwalekwa mbona siwasikii?

Cloud Fm ilikuwa inapendwa sana hasa na vijana! Kipindi cha Jahazi Asilia hakina mvuto tena! Tatizo ni nani hapo?

Sahiv mmenifanya niamin kwamba cloudz mti wenye matunda na hasa kipindi cha jahazi coz kila nikiingia humu thread ya clouds lazima iwepo,unauhakika kwmb jahaz inackilizwa na vjana tu?mama,baba,mjomba,shangaz zako hawackiliz?Kwanin thread za medias nyingine e.g Radio1,rfa,magic,kissfm,uhuru,e.a hazionekan inamaana hawana mapungufu au hamckilizag?Tafakar utagundua kwmb clauds ni talk of the town

mi niliacha kusikiliza jahazi walipokuwa wale wadada,but siku hz ni moto wa kuotea mbali,arnold kayanda anakimbiza mbaya,dogo yupo talented,sikosagi pia kipindi chake cha top 20,leo tena wapo juu bila kusahau vijana wa xxl,ila pwr breakfast siwezi kusikiliza hata siku moja,majamaa wanaboa mbaya..

Jahazi hivi sasa imetulia kiasi, akiondolewa Kibonde itatulia zaidi.

napenda sana kipindi cha jahazi siku hizi hasa baada ya anorld, wasiwasi kuongezwa pale.... they are smart boys

Cloud Fm ilikuwa inapendwa sana hasa na vijana! Kipindi cha Jahazi Asilia hakina mvuto tena! Tatizo ni nani hapo?

Vijana Gani unaowasema wewe??, Mbona mimi siijui hiyo kitu! usiusemee moyo wa mtu mwingine, unataka tutembelee viatu vyako, doh!

Back
Top Bottom