Masikitiko ateuliwa kuwa Mkurugenzi mpya TBS

Wale jamaa sitaki kuwakumbuka, waliruhusu tairi za nchi za baridi ziuzwe nchini (Hot terrain) na ofisi yetu ikaingia mkenge. Siyo kupasuka huko!
 
Confirmed
Joseph B Masikitiko amechaguliwa kuwa mkurugenzi mpya wa TBS
Hii ndio kusema kuwa yule mzee wetu Ekelege na vile vikampuni vyake feki hawatakuwepo tena kwenye viunga vya TBS.
Habari hizi zimepokelewa kwa vifijo na nderemo pale TBS huku watu wakipeana hugs na wengine kulia kwa furaha.
Mleta habari hizi kutoka ndani ya TBS anasema hata Masikitiko mwenyewe alikuwa hajui kama kachaguliwa.
Kigoda kaamua kufanya kweli baada ya jina lake kuchafuliwa hivi karibuni hususan kuhusu ekelege na kampuni ya WTM ya UK ambayo alikuwa analazimisha irudishwe kwenye ukaguzi wa magari wakati hata workshop tu haina.
Tunapenda kumpongeza kigoda kwa ujasiri alioonyesha wa kutomuonea aibu Ekerege.
Mkuu jina lake litachafuliwa vipi wakati kwa maelezo yako, Mh. Kigoda ndiye alikuwa analazimisha Ekelege na WTM UK warudi wakati utendaji wao ulikuwa umejaa madudu na utata
 
haahahhaah mi nashindwa kuelewa watu humu wanafiki walikuwa wanamsema kigoda sasa hivi wanampngeza ...hii nafasi c ni ya kuteuliwa na rais ....au nimekosea .......anyway huyu mzeee kichwa na kwa kweli alikuwa amkubali yule dg fisadi ........ana cpa na mba ..alikuwaga nbc ...miaka mingi aliwahi kuwa chief wa treasury zamani nbc....akajiunga diamond motors ltd finance manager ....kabla ya kujiunga na tbs .....
 
masikitiko ni mwenyeji wa kutoka songea....alianzia pale nbc,amesomeshwa na bank hiyo mpk kupata CPA...baada ya kuja makaburu akapanda mpk akawa director of finance...hakukaa sana kwenye hicho cheo kwani aliiba pesa nyingi sana,akasimamishwa kazi then bank ikatangaza kupunguza wafanyakazi wake kazi(miaka ya 97,98)..pia ikasema wale wenye kesi na waliosimamishwa wanaweza pia kuomba kuacha kazi ...jamaa akaomba kuacha kazi
baada ya kuondoka bank akaelekea Mitsubishi motors...nako huko kuna soo alifanya maana walikuwa wamempa gari wakamnyang'anya...ndipo alipotua tbs.
jamaa ana tamaa na utajiri maana nakumbuka alisota sana pale NBC kabla ya kuwa mkurugenzi,akawa anataka sana kuacha kazi ila boss wake akawa anampa moyo na kumwambia kasome(enzi hizo ifm inamilikiwa na nbc)..akawa anasoma pale...lkn mara tu alipopata cheo ye ni kuiba tu...!
 
awww ni kweli mkuu unachosema jamaa anaweza kuwa kibaraka wake lakini akheri ya huyu masikitiko kuliko yule mzee waliyemtoa .....watu wana order vyeti vya tbs unataja chasis number wanakutumia (WTM)...wizi mwingine wa kijinga ......kabisa alafu yeye anawetetea ....
 
duuuu jf kweli kitu .......kumbe jamaaa alipiga sana hela pale nbc ...mi nilidhani makaburu tuu walimpiga chini ...i guess bosi unayomuongelea ni yule chief wa hr ....c wabongo tukipewa kitengo ni kupiga tuuuu yaaani daaah
 
Mkuu jina lake litachafuliwa vipi wakati kwa maelezo yako, Mh. Kigoda ndiye alikuwa analazimisha Ekelege na WTM UK warudi wakati utendaji wao ulikuwa umejaa madudu na utata
Ni kweli alikuwa analazimisha WTM warudishwe na alitaka kumrudisha ekelege kinyemela lakini alipopewa ushauri na walio chini yake akawasikiliza.
Kumbuka Kigoda hakuwa hapo wizarani hivyo wale WTM pamoja na ekelege wakienda kwake kulia machozi ya mamba alikuwa anawaamini na kuwaonea huruma pia ukichangia kuwa jamaa walikata kitu kidogo.
Kosa ni kurudia kosa lakini mtu akiyatambua makosa yake na kuyasahihisha basi anatakiwa apongezwe na kupewa suport ya kuiendeleza kazi ngumu aliyoianza.
KUSAFISHA MADUDU ALIYOACHA EKEREGE SIO MCHEZO
_MG_0057.jpg
 
masikitiko ni mwenyeji wa kutoka songea....alianzia pale nbc,amesomeshwa na bank hiyo mpk kupata CPA...baada ya kuja makaburu akapanda mpk akawa director of finance...hakukaa sana kwenye hicho cheo kwani aliiba pesa nyingi sana,akasimamishwa kazi then bank ikatangaza kupunguza wafanyakazi wake kazi(miaka ya 97,98)..pia ikasema wale wenye kesi na waliosimamishwa wanaweza pia kuomba kuacha kazi ...jamaa akaomba kuacha kazi
baada ya kuondoka bank akaelekea Mitsubishi motors...nako huko kuna soo alifanya maana walikuwa wamempa gari wakamnyang'anya...ndipo alipotua tbs.
jamaa ana tamaa na utajiri maana nakumbuka alisota sana pale NBC kabla ya kuwa mkurugenzi,akawa anataka sana kuacha kazi ila boss wake akawa anampa moyo na kumwambia kasome(enzi hizo ifm inamilikiwa na nbc)..akawa anasoma pale...lkn mara tu alipopata cheo ye ni kuiba tu...!
Tunajua kuwa wengi wameumizwa na uteuzi wa masikitiko hasa pale ukitambua kuwa kuna wazee kibao waliotegemea kuchaguliwa kuwa wakurugenzi wakuu , hivyo majungu kama haya hatutashangaa.
Masikitiko piga kazi mkuu, umeweka historia kuwa mkurugenzi kijana kuliko wote waliotangulia
 
Nadhani hapo suala la msingi anafaa ama la eti katoka wapi ukweli huo sasa tunaelekea kwenye ukabila...haifai kabisa tubadilike
 
ni kweli kabisa ukabila hauna maana hapa ........na mtimti sidhani kama kapiga majungu ni kweli jamaa kapita nbc/diamond na sasa tbs ......haya yamepita tuombe tu jamaa arudishe imani ya wananchi na tbs.....cv yake imesimama so tumpe muda tuone ........
 
Tunajua kuwa wengi wameumizwa na uteuzi wa masikitiko hasa pale ukitambua kuwa kuna wazee kibao waliotegemea kuchaguliwa kuwa wakurugenzi wakuu , hivyo majungu kama haya hatutashangaa.
Masikitiko piga kazi mkuu, umeweka historia kuwa mkurugenzi kijana kuliko wote waliotangulia

kama kuna sehemu unaona namsingizia nenda kamuulize ni wapi nimemsingizia..!nami ntaomba nipigwe ban ya miezi sita
 
hongera zake
achape kazi kw akuzingatia bila upendeleo wa aina yoyote
kwa manufaa ya afya zetu watanzania.
 
Angalizo:
Hapa hatusemi kama bwana mtimti kuwa umemsingizia huyu bwana mkubwa aliyeteuliwa hapana inawezekana kabisa you have the right information kinachogomba hapa ni ukabila unaozungumziwa eti mtu wa wapi na akishindwa ahukumiwe kama yeye na si kabila lake.Ahsante.
 
masikitiko ni mwenyeji wa kutoka Songea....alianzia pale nbc,amesomeshwa na bank hiyo mpk kupata cpa.

Baada ya kuja makaburu akapanda mpk akawa director of finance...hakukaa sana kwenye hicho cheo kwani aliiba pesa nyingi sana,akasimamishwa kazi then bank ikatangaza kupunguza wafanyakazi wake kazi(miaka ya 97,98)..pia ikasema wale wenye kesi na waliosimamishwa wanaweza pia kuomba kuacha kazi ...jamaa akaomba kuacha kazi.

Baada ya kuondoka bank akaelekea mitsubishi motors...nako huko kuna soo alifanya maana walikuwa wamempa gari wakamnyang'anya...ndipo alipotua tbs.

Jamaa ana tamaa na utajiri maana nakumbuka alisota sana pale nbc kabla ya kuwa mkurugenzi,akawa anataka sana kuacha kazi ila boss wake akawa anampa moyo na kumwambia kasome(enzi hizo ifm inamilikiwa na nbc)..akawa anasoma pale...lkn mara tu alipopata cheo ye ni kuiba tu...!

......

Ulitaka aibe mawe? M nahisii bora huyu kuliko nyie mnaziibia ndoa zenu
.
 
Ulitaka ASOMESHWE NA FINCA? SIKU WAKIANZA KUVUTA CHAO MNAMCHEKA TENA JF LOH PASUA BABA PANAPOPASULIKA WALA USITISHWE AMEANZA KEREGE KAMALIZIE LAMAAANA TU USIWE KAMA EKEREGE UKIPATA MINOFU MKUMBUKE NA KIGODA HIYTO NDIO PRINCIPLE YA KUISHI MILELE VYEO KAMA HIVYO NMKUU HUNIJUI SIKUJUI UKIFANIKIWA KWA HILI USINI PM NENDA KATIE SADAKA ROBO YA MGAO
 
Halafu mnasema waislamu wadini hii si nzuri kwa mustakabali wa taifa letu hizi zimekuja huku kwetu juzi tu kabla mababu zetu waliishi bila dini na mambo yalikuwa mswanu leo unanichukia kisa mimi mkatoliki au muislam hii si sawa.

.......
Kwa hiyo aliyekaimu muda wote huo bwana Kinabo wamempiga chini? Ni lazima apogwe chini maana ni mkristu mlokole na madudu ya pale hayataki kabisa.
 
Back
Top Bottom