Masikini CUF, wapo bungeni?

unadhani siasa za BONGO zina tabirika!
hivi unawakumbuka NCCR mwaka 1995...... wafananishe na sasa
halafu piga picha chadema 2025....................!!
(natabiri kama chadema ikiangukia pua 2015..... basi itakuwa kama NCCR story yake!!!!!)
Mkuu nccr ilikuwa imebebwa na mrema tofauti CDM mkuu naona historia inakupiga chenga kidogo
 
Back
Top Bottom