Mashujaa FC waishushia kipigo kizito Kagera Sugar 2 - 0

Soloma TV Online

Senior Member
Jun 26, 2023
104
291
Timu ya soka ya Mashujaa FC ya mkoani Kigoma iliyopanda daraja msimu wa 2022/2023 kutoka Championship waianza safari yao kwa kuwashushia kipigo kizito Kagera Sugar ndani ya Machinjio yao ya LAKE TANGANYIKA kwa magoli mawili kwa nunge.

FT: Mashujaa FC 2 - 0 Kagera Sugar

IMG_20230816_163749_051.jpg
 
Ahahahaaa 😂....

Isije kuwa nguvu ya soda hao wakurungwa ila acha iwe hesabu ya mapema na naomba nione game lao na Azam au Singida Fountain Gate ndipo nitawapa kongore.
 
Mashujaa hii inanikumbusha Chelsea ya Jose Mourinho...hawavutii kiuchezaji, wanakuacha ucheze then ukijichanganya kidogo tu imekula kwako maana wana wachezaji wenye speed na wanaocheza Jihad, pasi mbili tu wako golini kwako!
 
Too Overrated
 
Tukiweka mahaba na chuki pembeni hawa Mashujaa wanastahili sifa. Waliwahi kumtoa Simba FA, wamemshusha Mbeya City na leo wameanza kwa ushindi mzuri tu dhidi ya Kagera, ulitaka tusemeje!? Tuwape sifa zao mzee na wala hatuwa overrate

na wasiwasi wewe utakuwa kanali kweli maana ile timu si yenu ile
 
Timu ya soka ya Mashujaa FC ya mkoani Kigoma iliyopanda daraja msimu wa 2022/2023 kutoka Championship waianza safari yao kwa kuwashushia kipigo kizito Kagera Sugar ndani ya Machinjio yao ya LAKE TANGANYIKA kwa magoli mawili kwa nunge.

FT'
Mashujaa FC 2 - 0 Kagera Sugar
.
.
.
.
.
#solomatv_updates View attachment 2719106
KUMBE VUVUZELA ZIAHARIBU LADHA YA MPIRA!
 
Back
Top Bottom