Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri

Mi sijapata jibu wapendwa, kipi nafuu, kupeleka kwa watotoleshaji au kuwa na incubator yangu?

Nami nipo kwenye hatua za ufugaji kuku wa kienyeji na wa mayai.
 
Mawenzi asante kwa ufahamisho, nimewasiliana na Dr Singa akanieleza kuwa anazo mashine hizo, nafanya mipangilio nimwendee. Shukrani mkuu

Vipi maendeleo ya mradi wako? Kama unaendela Unatotolesha pia wa mayai?
 
Vipi maendeleo ya mradi wako? Kama unaendela Unatotolesha pia wa mayai?

Mkuu mie nitajihusisha na kutotoa kuku wa kienyeji tu na kwa sasa nitazalisha kuku wa kufuga mwenyewe hadi nitakapofikisha idadi ninayotaka ndipo niangalie kama naweza kutotoa vifaranga wa kuuza.

Kuku wa mayai nao nitafuga lakini kwa kununua vifanga kutoka kwa wengine kama Interchick.
 
NtakuPM muda wowote Kamanda kwa maongezi zaidi!

Thankx!

Kwa faida ya wengine ni kuwa nilimpigia simu jamaa huyo wa Mgana Incubator (Dr.Singa) akaniambia kuwa anatengeneza mashine za aina tatu (3).

1. Zinazotumia mafuta pekee
2. Zinazotumia mafuta na/au umeme - ikitokea umeme umekatika unawasha mafuta yako na kuatamia kunaendelea
3. Zinazotumia umeme pekee

Aidha alisema anatengeneza zenye uwezo wa kuatamia mayai 100, 150, 200 hadi 1000 na kwamba mashine ya mayai 200 inauzwa shilingi laki 7 (700,000) na ile ya mayai 150 inauzwa shilingi laki 6 (600,000). Ni vizuri tuachane na ufugaji wa kale na tufuge kibiashara zaidi kwa kutotoa mayai mengi kadri inavyowezekana.

Kwa maelezo zaidi zaidi mtwangie mtengezaji mwenyewe kwa namba iliyoonyeshwa na MAWENZI hapo juu

Nawasilisha kwa wanaotarajia kuwa wafugaji
 
machine ya kusagia chakula cha kuku capacity 100 kg bei 2 million incubator ya capacity ya mayai 1056 ni automatic kwa 2 million incubator ya capacity 264 kwa 1.2 million incubator ya capacity ya mayai 176 ni 1 million na zinachukua mayai ya aina yoyote incubator zote ni CE APPROVED na ni automatic multifunctuon serious buyer only picha zinaapatikana only email kamkumbe@gmail.com
YZTIE_4_CE_approved.jpg
 
View attachment 58855machine ya kusagia chakula cha kuku
capacity 100 kg bei 2 million
incubator ya capacity ya mayai 1056
ni automatic kwa 2 million
incubator ya capacity 264
kwa 1.2 million
incubator ya capacity ya mayai 176
ni 1 million
na zinachukua mayai ya aina yoyote


incubator zote ni CE APPROVED
na ni automatic multifunctuon
serious buyer only picha zinaapatikana
only email kamkumbe@gmail.com

Tafadhali nieleweshe hapo kwenye red, ni mashine ya kuchanganyia chakula cha kuku au?
 
picha ya machine ya chakula cha kuku ipo wapi mkuu

hii capacity ya 100kg ni per hour au per day?
 
kilo 100 kwa saa 1. picha nimejarribu kuweka lakin nimeshindwa
tuma email nakurushia
 
Incubator ya kuangulia vifaranga 600 used na mpya bei yake vipi naomba mchango wenu wana jf kwa wenye uzoefu ktk hilo na efficiency yake.
 
Mkuu kwa China zinapatikana kwa Bei nzuri kabisa, za hapa Bongo hazifai kabisa ni kujitakia Presha, Ila bei inategemeana google alibaba utapata kila kitu,
 
Chasha mlishauri kuepukana na incubator za kerosine za watengenezaji wa bongo, hivi hizi za umeme kwa back up ya generator kaka garama yake italipa kweli!

Maana umeme wa bongo sometimez ni kama hakuna kitu, mnafanyaje wakubwa? Kwa generator inalipa maana no way lazima uwe na back up power source! Labda option ya gesi inanipa matumaini kidogo!
 
Mkuu kwa China zinapatikana kwa Bei nzuri kabisa, za hapa Bongo hazifai kabisa ni kujitakia Presha, Ila bei inategemeana google alibaba utapata kila kitu,
Thanks Chasha Alibaba niliisha google siku nyingi nikapata suppliers kibao na wananikumbusha kila leo ila napata kigugumizi kuwaamini itanifikiaje hiyo mashine yao, umeishawai kufnay biashara nao. Mimi ninahitaji ingawa kuanzia sio kubwa hata ya mayai 200 kwa matumizi binafsi
 
Chasha mlishauri kuepukana na incubator za kerosine za watengenezaji wa bongo, hivi hizi za umeme kwa back up ya generator kaka garama yake italipa kweli! Maana umeme wa bongo sometimez ni kama hakuna kitu, mnafanyaje wakubwa? Kwa generator inalipa maana no way lazima uwe na back up power source! Labda option ya gesi inanipa matumaini kidogo!

Mkuu incubators mfano za mayai mpaka 1500 unaweza tumia solar na ikaendesha vizuri tu na nyingi hutunza moto kwa masaa hadi matano, so baada ya hapo unaweza tumia solar au genereta vile vidogo, haiwezi kuwa ghalama kwa sababu si dhani kama umeme un akatika kila daily na labda ukatike siku nzima lakini kama ni masaa matutu manne haina shida kabisa
 
Mkuu kwa China zinapatikana kwa Bei nzuri kabisa, za hapa Bongo hazifai kabisa ni kujitakia Presha, Ila bei inategemeana google alibaba utapata kila kitu,

Mkuu hivi hawa Alifather wanaaminika kweli? Sio Matapeli?
 
Alibaba sio wauzaji wao ni waunganishaji, tu, ni kama livyo kwa jamii fulum leo hii huwezi tapeliwa na mtu humu janvini then ukaenda kuwalaumu wenye mtandao

Alibaba wana condition wamezi weka ambazo mnunuzi unatakiwa kufuata na ukizifuata huwezi tapeliwa, hii ni panoja na kuklipia kupitia ESCROW, hawa ukisha walipa pesa hukaa nazo na mpaka supler atume mzigo kwako ndo wao wampatie Suplier pesa, Hawawezi mpatia pesa muuzaji bila kwanza wewe kudhibitisha kwamba mzigo umetumwa na ndo wenyewe
SO WAKO FRESHI TU NA MIMI KUNA MZIGO NDO NAJIANDAA KUNUNUA KWA SUPLIER MMOJA MWEZI HUU,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom