Thanks Chasha kutujuza mie sikuwaelewa niliona nimewekewa supplier wengi wote verified, sasa niendelee vipi nikakwama
Alibaba sio wauzaji wao ni waunganishaji, tu, ni kama livyo kwa jamii fulum leo hii huwezi tapeliwa na mtu humu janvini then ukaenda kuwalaumu wenye mtandao
Alibaba wana condition wamezi weka ambazo mnunuzi unatakiwa kufuata na ukizifuata huwezi tapeliwa, hii ni panoja na kuklipia kupitia ESCROW, hawa ukisha walipa pesa hukaa nazo na mpaka supler atume mzigo kwako ndo wao wampatie Suplier pesa, Hawawezi mpatia pesa muuzaji bila kwanza wewe kudhibitisha kwamba mzigo umetumwa na ndo wenyewe
SO WAKO FRESHI TU NA MIMI KUNA MZIGO NDO NAJIANDAA KUNUNUA KWA SUPLIER MMOJA MWEZI HUU,