Mashine za kukamua matunda zina soko Tanzania?

Gurudumu

JF-Expert Member
Feb 5, 2008
2,349
261
wandugu,

naomba kuuliza kama mtu anataka kufanya biashara ya kuagiza na kuuza mashine za kukamua matunda, kuprocess mboga za majani, na kuprocess maziwa lakini katika small and medium scale atapata biashara? Kama atapata ni maeneo gani ya nchi?

Nashukuru kwa maoni yenu
 
mkuu...mimi ni sourcing agent ni pm nikupe e-mail unitumie specs za mashine hizo.... siyo bongo tu East and central africa soko la miradi ya SME's ni kubwa

hizi mashine ni turnkey process-line au...?
 
Mkuu Gurudumu, mimi binafsi nahitaji mashine ya kuprocess maziwa. Naomba unipatie details za hizo mashine.
 
Mimi naitaji za kukamua matunda kama embe,machungwa vile vile alizeti na ufuta
 
wandugu,

naomba kuuliza kama mtu anataka kufanya biashara ya kuagiza na kuuza mashine za kukamua matunda, kuprocess mboga za majani, na kuprocess maziwa lakini katika small and medium scale atapata biashara? Kama atapata ni maeneo gani ya nchi?

Nashukuru kwa maoni yenu

Mkuu gurudumu, naompa ni-pm nikupe email untumie specification za mashine ya ku-process maziwa!
 
Lakini ukumbuke hakuna umeme wa uhakika kutunza juice ktk fridge.
 
@Gurudumu
naona watu wengi wako interested na machine hizo, please tunaomba specifications. Either kwenye website au uweke hapa.
Thanks in advance
 
wandugu,

naomba kuuliza kama mtu anataka kufanya biashara ya kuagiza na kuuza mashine za kukamua matunda, kuprocess mboga za majani, na kuprocess maziwa lakini katika small and medium scale atapata biashara? Kama atapata ni maeneo gani ya nchi?

Nashukuru kwa maoni yenu
Naamini watu wengi tu watapenda hii kitu ila kwa maoni yangu market area zitakuwa ni zile zenye uzalishaji mwingi wa matunda mfano Tabora (maembe) Tanga (matunda karibu aina zote) Mbeya pia kama Tanga.

Ni vyema ukatupa specs na expected to be TZ price na hasa zinatumia umeme au mafuta?
 
Haya basi ngoja niwajibu wote.

Kwanza samahani kwa kuanzisha sredi na kutoweka, nilitingwa. Namshukuru LAT kunirudisha hapa

Nina rafiki yangu muhindi yuko hapa DSM ana connection India za uhakika. These people have capital ni market tu wanataka kuwa na uhakika nayo. Wanatoa mafunzo pia siyo tu namna ya kutumia mashine bali sayansi ya kilimo na uhifadhi wa masoko. These people are talking big bisiness but hawataki kufanya na serikali kwa sababu ya urasimu na ufisadi (na siasa)

Kwa kuwa mimi sijawahi hata kuuza karanga za kukaanga, nikaona niliweke hapa. Haya niambieni way forward please
 
Gurudumu - Kitu cha kwanza tunaomba please utuweke specifications ya machine hizo, au hao jamaa zako kama wana website ingekuwa vizuri, hili tuweze kupata information direct from the source. Tayari umeshasikia kwamba demand hipo, now it is time to act and do a good marketing project.
 
Mkuu Gurudumu mbona umepotezea tena hili suala la mashine za kukamua matunda members (nikiwamo) walionesha kuhitaji sana specification na details muhimu za hizo mashine lakini naona kimya tena Mkuu Gurudumu, Please bado nasisitiza kama una web site link za hao supplier/ manufacturers iweke basi ili watu tuoone pa kuanzia!

Asante kwa kuwa utakata kiu yangu na wadau wengine wenye uhitaji!!
 
Back
Top Bottom