Mashine ya kupima sukari

Samahani

JF-Expert Member
Oct 29, 2018
222
335
Wakuu wa jamvi,

Naomba kwa wenye uelewa wa kutosha juu ya aina nzuri ya mashine za kupima sukari anijuze. Nimeshanunua mara kadhaa aina mbalimbali ikiwa ni pamoja na One Touch (Select Simple) na Contour XT, lakini mara zote stripes zake kufyonzea damu zinatoweka kabisa madukani na nabaki na mashine bila kuwa na vipimo.

Naomba sana na ikiwezekana kupata bei litakuwa jambo muhimu!!!

Asanteni sana na Mbarikiwe
 
Back
Top Bottom