Hawa mashehe kwanza ni darasa la pili then ndiyo hawa wanatuharibia CCM yetu kwa kuleta ushabiki wa kidini,hawana hata mana KIKWETE akimaliza muda wake na mkristo kuchukua nafasi ya urais ndani ya CCM WOTE WANAHAMA NA KUMCHUKIA HUYO RAIS MKRISTO,angalizo hawa masheikh wanatuharibia CCM YETU.