Mashehe wa Bara Ongozeni harakati za kuupinga Muungano; Tanganyika isiidhulumu Zanzibar

Status
Not open for further replies.
Kwa hakika mwenye kuung'ang'ania muungano ndio mwenye faida nao, mtu huwezi kukomalia kitu kama huna haja nacho, kwanza nini kilichoungana hapa zaidi pesa na kujaza viongozi wabara zanzibar, au muungano wa umeme, na huu si muungano ni MUU-NGUZANO.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom