Mashehe wa Bara Ongozeni harakati za kuupinga Muungano; Tanganyika isiidhulumu Zanzibar

Status
Not open for further replies.

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,476
39,995

Nawasihi mashehe wa bara wafuate mfano wa wale wa Zanzibar; watuongoze kupinga Muungano ili Zanzibar iwe huru. Haiwezekani watu wa Tanganyika (wakiwemo mamilioni ya Waislamu) wawe wanawadhulumu Waislamu wa Zanzibar kwa kuendeleza Muungano. Tafadhalini mashehe kwa hili hata miye nitawaunga mkono!! Muungano umalizwe kusiwepo na dhulma, ukandamizaji na uonevu unaofanywa na Watanganyika (Waislamu kwa Wakristu) dhidi ya Wazanzibari!

Kabla hamjanirukia... there is a point am making...
 
Last edited by a moderator:
Udini ndo taabu kwenu-mf. makanisa na muungano vinahusiana vipi?jazba za kushinikizana nazo ni kikwazo mtambuka wa kuelewa na kuchambua mambo!je unamaanisha waislamu wote waende Zanzibar na wakrosto wote wabaki Bara? ni vyema kuuchambua ukwlei na kuweka dhana ya udini pembeni..very frastrating statments
 
Nawasihi mashehe wa bara wafuate mfano wa wale wa Zanzibar; watuongoze kupinga Muungano ili Zanzibar iwe huru. Haiwezekani watu wa Tanganyika (wakiwemo mamilioni ya Waislamu) wawe wanawadhulumu Waislamu wa Zanzibar kwa kuendeleza Muungano. Tafadhalini mashehe kwa hili hata miye nitawaunga mkono!! Muungano umalizwe kusiwepo na dhulma, ukandamizaji na uonevu unaofanywa na Watanganyika (Waislamu kwa Wakristu) dhidi ya Wazanzibari!

Hueleweki lengo lako ni nini hasa? Hata wewe utawaunga mkono??????????? who are you? Na kwa lipi umekuwa huwaungi mkono?
 
Last edited by a moderator:
mbona liko wazi - muungano umefika wakati uvunjwe. Kwa vile harakati za kupinga Muungano Zanzibar zinaongozwa na mashehe ninaamini watu sahihi bara kuweza kuongoza harakati za kuvunja Muungano ni mashehe vile vile.

hivi Zanzibar kuna mashamba ya Viazi?

Hivi Zanzibar wanazalisha umeme kiasi gani?

Tanganyika ina import nini kutoka Zanzibar?

Mtoto akililia wembe mpeni jamani.
 
MM,

Masheikh wa Tanganyika wapambane na mfumo kristo unaongozwa na kanisa katoliki kuendelea kuwakandamiza waislamu na fitna zinazozunguka. Masheikh za zanzibar wanatosha kuwatoa jasho nyie wafuasi wa kanisa katika suala la muungano hawahitaji masheikh wa kutoka Bara.
 
mbona liko wazi - muungano umefika wakati uvunjwe. Kwa vile harakati za kupinga Muungano Zanzibar zinaongozwa na mashehe ninaamini watu sahihi bara kuweza kuongoza harakati za kuvunja Muungano ni mashehe vile vile.
Huu ni uhaini!.
Nimemkumbuka Nyerere, angekuwepo, tusingefika hapa!. Tukiwaambia JK is a weak president, watu hawataki kukubali!.
Hao masheikh wa kukundi cha Uamsho, wanakuwa tolerated under pretex ya religious tolerance hivyo kutenda vitendo vya jinai ya uhaini kwa muda mrefu na kuachwa hivi hivi wakiangaluwa!. Lakini wafuasi wao walipofanya jinai ya violence, ndipo wakakamatwa!. Kwa huu udhaifu wa JK, sasa sio tena CCM itamfia mikononi nwake, bali sasa muungano unataka kumpasukia!.

Mzee Mwanakijiji please stop this reciplicles za kihaini, japo muungano wenyewe sio halali, lakini "the end justifies the meas"!.
 
Mkuu hata mimi nitawaunga mkono kuwapa wazenj uhuru wao. Ila mkuu ukiangalia sana sisi Watanganyika ndo tunautaka huo uhuru kwani wao wana Zenj yao ss Tanganyika iko wapi??????......... Naumia sana.
 
Huu ni uhaini!.
Nimemkumbuka Nyerere, angekuwepo, tusingefika hapa!. Tukiwaambia JK is a weak president, watu hawataki kukubali!.
Hao masheikh wa kukundi cha Uamsho, wanakuwa tolerated under pretex ya religious tolerance hivyo kutenda vitendo vya jinai ya uhaini kwa muda mrefu na kuachwa hivi hivi wakiangaluwa!. Lakini wafuasi wao walipofanya jinai ya violence, ndipo wakakamatwa!. Kwa huu udhaifu wa JK, sasa sio tena CCM itamfia mikononi nwake, bali sasa muungano unataka kumpasukia!.

Mzee Mwanakijiji please stop this reciplicles za kihaini, japo muungano wenyewe sio halali, lakini "the end justifies the meas"!.

Pasco,

Kwani humfahamu Mwanakijiji ni mdini? Mbona hajasema Maaskofu wasaidieni masheikh wa zanzibar (tena ni baadhi na sio wengi) kudai na kupata wanachokitaka. Kwanini imekuwa of interest zanzibar mbona hazisemei fujo zilizotokea Mwanza mpaka misahafu ikachomwa moto na msikiti au kule waathirika ni waislamu? Huu ni uchochezi na fitina na hapo hampati zama za propaganda na ujinga zilishapita zamani siku hizi kila mtu mjanja na muelewe na nini unachotaka kukifanya.
 
MM,

Masheikh wa Tanganyika wapambane na mfumo kristo unaongozwa na kanisa katoliki kuendelea kuwakandamiza waislamu na fitna zinazozunguka. Masheikh za zanzibar wanatosha kuwatoa jasho nyie wafuasi wa kanisa katika suala la muungano hawahitaji masheikh wa kutoka Bara.

Naam!! Ndio mfumo huu huu ambao unakandamiza Waislamu wa Zanzibar kwa kutumia Muungano. Hivyo, ni muhimu kwa wanaopinga Mfumo Kristu kupiga vita Muungano vile vile kwani ni vitu vinavyoenda pamoja.
 
Huu ni uhaini!.
Nimemkumbuka Nyerere, angekuwepo, tusingefika hapa!. Tukiwaambia JK is a weak president, watu hawataki kukubali!.
Hao masheikh wa kukundi cha Uamsho, wanakuwa tolerated under pretex ya religious tolerance hivyo kutenda vitendo vya jinai ya uhaini kwa muda mrefu na kuachwa hivi hivi wakiangaluwa!. Lakini wafuasi wao walipofanya jinai ya violence, ndipo wakakamatwa!. Kwa huu udhaifu wa JK, sasa sio tena CCM itamfia mikononi nwake, bali sasa muungano unataka kumpasukia!.

Mzee Mwanakijiji please stop this reciplicles za kihaini, japo muungano wenyewe sio halali, lakini "the end justifies the meas"!.

I plead guilty! kama maneno yangu haya madogo yanalingana na uhaini na wanaofanya hivyo Zanzibar wanaambiwa ni haki yao basi neno haki limepoteza maana. Uhaini siyo hawa viongozi waliotengeneza mazingira ya kuvunja Muungano? Wameshindwa kuuokoa miye nawaambia kile kilicho obvious - tena kutoka kwa mtu ambaye ameutetea muungano sana na a pan-africanist to the core - it is about time to say 'let Zanzibar go'! Tuanze tu mahusiano ya nchi mbili kama tunavyohusiana na Malawi, Iran, Kenya na Uingereza na nchi nyingine duniani. Kwanini uwe ni uhaini to state the obvious?

Halafu unajipinga mwenyewe; kama unaamini Muungano siyo "halali" uhaini unakuwepo vipi? Kama ndoa haipo mtu akisema muachane utadai vipi talaka?
 
Pasco,

Kwani humfahamu Mwanakijiji ni mdini? Mbona hajasema Maaskofu wasaidieni masheikh wa zanzibar (tena ni baadhi na sio wengi) kudai na kupata wanachokitaka. Kwanini imekuwa of interest zanzibar mbona hazisemei fujo zilizotokea Mwanza mpaka misahafu ikachomwa moto na msikiti au kule waathirika ni waislamu? Huu ni uchochezi na fitina na hapo hampati zama za propaganda na ujinga zilishapita zamani siku hizi kila mtu mjanja na muelewe na nini unachotaka kukifanya.

kwani miye ni msemaji wa kila mtu na wa kila kitu? wengine nao si wanaweza kusema na wanayo haki ya kusema? Au mpaka niseme mimi ndio kipate umuhimu? Ukitaka maaskofu waunge mkono mashehe Zanzibar sema tu; miye nitakuunga mkono.
 
Pasco,

Kwani humfahamu Mwanakijiji ni mdini? Mbona hajasema Maaskofu wasaidieni masheikh wa zanzibar (tena ni baadhi na sio wengi) kudai na kupata wanachokitaka. Kwanini imekuwa of interest zanzibar mbona hazisemei fujo zilizotokea Mwanza mpaka misahafu ikachomwa moto na msikiti au kule waathirika ni waislamu? Huu ni uchochezi na fitina na hapo hampati zama za propaganda na ujinga zilishapita zamani siku hizi kila mtu mjanja na muelewe na nini unachotaka kukifanya.

Mwanakijiji sio mdini, sasa kama kule Zanzibar masheikh ndio wanaongoza katika hizo harakati iweje hawaambie maaskofu! Halafu kitu kingine acha uongo kama kitu hujui ni bora ukae kimya kuliko kueneza uongo ni lini msikiti umechomwa Mwanza! Kama unaongelea fujo zile za lumala huko Mwanza ni vizuri ukauliza chanzo ni nini kuliko kukurupuka! Na kuanza na kudanganya watu!
 
Naam!! Ndio mfumo huu huu ambao unakandamiza Waislamu wa Zanzibar kwa kutumia Muungano. Hivyo, ni muhimu kwa wanaopinga Mfumo Kristu kupiga vita Muungano vile vile kwani ni vitu vinavyoenda pamoja.

Mkuu nakuheshimu sana,lakini kwa hili naomba nitofautiane na wewe,labda utoe ufafanuzi zaidi mimi sioni hata kidogo uhusiano uliopo kati ya kudai uhuru wa zanzibar na swala la ukristo,kama kuna lililofichika tafadha liwekeni wazi tupate kuelewa!
 
Kwanini usiwaambie Maaskofu na Mapadri?

Huu ni ufataani mkubwa sana.
 
Nawasihi mashehe wa bara wafuate mfano wa wale wa Zanzibar; watuongoze kupinga Muungano ili Zanzibar iwe huru. Haiwezekani watu wa Tanganyika (wakiwemo mamilioni ya Waislamu) wawe wanawadhulumu Waislamu wa Zanzibar kwa kuendeleza Muungano. Tafadhalini mashehe kwa hili hata miye nitawaunga mkono!! Muungano umalizwe kusiwepo na dhulma, ukandamizaji na uonevu unaofanywa na Watanganyika (Waislamu kwa Wakristu) dhidi ya Wazanzibari!

Kwa nini mashekhe na wala si watanganyika?
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom