mashati ya J. Kikwete(designer)/nayatafuta

Katabazi

JF-Expert Member
Feb 18, 2007
353
19
Wana JF,
Naomba msaada wa mtu anayeweza kuniambia mtu anayemshonea mashati Kikwete-sijui niyaite ya kitanzania au ya kia Africa? Kuna mtu anayataka na ameyazimia nimeshindwa kujua pa kuyapata mwenye uwezo wa kumjua mtengenezaji au mtu mwingine mwenye hivyo vitambaa na quality ile au inayokaribia anijuze.
 
mzee hata mimi nilijitahhidi kuzunguka sana hapo dsm lakini wapi. Ukiyapata nijuze mkuu, na zile kaunda suti zaje simpo ni nzuri sana
 
si mumuulize anazipata wapi?

Preta naomba niulizie dada-si unajua nyinyi kina dada anawasilikiliza zaidi kuliko njemba? na lingine unavyoweza wewe kumkaribia sisi wengine hatumuwezi japo ndio ingekuwa njia rahisi-NISAIDIE niko tayari kukupa utakacho kwenye uwezo wangu!:sing:
 
hayoo mashati yapo Binti afrika, duka lipo kndoni karibu na msikiti wa mtambaniiii
 
haha haaakuwa anashonewa na fundi wa mkewe si wajua kipande kikibaki huwa tunawaambia mshonee na baba:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:
 
hayoo mashati yapo Binti afrika, duka lipo kndoni karibu na msikiti wa mtambaniiii
Nakushukuru sana huo msikiti ni karibu na maeneo yapi Karibu na Makaburini au A au b,. natafuta mahali pa kuanzia,natanguliza shukurani.
 
Back
Top Bottom