Mashamba ya kukodi arusha

MimiT

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
599
388
mimi nipo arusha, natafuta sehemu ambayo wanakodisha mashamba kwaajili ya kilimo, pia nahitaji kujua ni mazao gani hasa yanalimwa kwenye hayo mashamba. msaada tafadhali
 
Karibu sana Arumeru njia ya kwenda Mbuguni ukitokea Tengeru. Huko kuna settler mmoja anaitwa Oscar ana land nzuri ya kufa mtu! Mahindi, nyanya, mpunga, maharage, ngogwe, bamia, tango na hata mazao mengine yanakubali vizuri. Inasemekana jamaa ana acres kama 800 hivi kwenye bonde zuri sana na kilimo ni cha umwagiliaji kwa kutumia mifereji. Kwa kweli pako vizuri ila bei nayo naambiwa ni TZSH 70,000 kwa msimu, kwa kweli kama msimu huu hakuna shamba lililobaki maana kote ni kijani kizuri sana.

Ukipenda nitakuunganisha na mwenyekiti wa Kitongoji cha jirani kwa habari zaidi.
 
Ki Spanish? Minifundio

Kiswahili? Mwanzo wa unyonyaji....

Tazama hapa...

Tumekwisha!

File:paisaje de prados de siega en Cantabria (España). Monte (Riotuerto), Barrio de Idiopuerta.jpg - Wikimedia Commons

Tafsiri mbovu ya kompyuta kwa Kiswahili: (unyonyaji . zaidi ya hekta 100 ichukuliwe kuwa mali kubwa , wengine kuwa shamba wastani). Katika maeneo mengine ya dunia au vyanzo vingine, takwimu inaweza kuwa tofauti: Marekani au Australia, hasa katika maeneo yenye wakazi wachache na uwezekano mkubwa wa kilimo na ranchi , unaweza kutumia takwimu ya ha 30 katika. Asia ya Kusini, na utamaduni wa kilimo wa kina (kama vile mchele kilimo cha umwagiliaji maeneo sana msongamano), unaweza kutumia sura ya 2 ina .

smallholding ni, kwa ufafanuzi, vile ndogo vipimo kwamba kuzuia mkulima kupata uzalishaji wa kutosha kuuzwa, na kulazimisha matumizi na kilimo cha chakula , na kuzuia mkulima kupata fedha za kutosha. smallholding, pamoja na mashamba , ni moja ya sababu kubwa ya uhamiaji kutoka vijijini kwenda mjini kutafuta kazi.

English:

A smallholding is, by definition, such small dimensions that prevent the farmer get enough production to be sold, forcing the consumption and subsistence farming , and preventing the farmer earning enough money. The smallholding, with the estates , is one of the main causes of migration from rural to city in search of work.

The smallholding is created in the regimes of inheritance in which the owner divides his property equally among their children, resulting in pieces of land progressively smaller. The subsequent partition of terrazzo inherited over time can lead to extreme cases in which overlooks a landscape of Longueras very low profitability.

Although it usually coincides with the term smallholding is not strictly synonymous with the concept of small property , because a farm could be composed of several small properties to reach a sufficient size. More common still is a large property be leased to individual farmers in many very small holdings are not large enough, thus forming true smallholdings.
 
Karibu sana Arumeru njia ya kwenda Mbuguni ukitokea Tengeru. Huko kuna settler mmoja anaitwa Oscar ana land nzuri ya kufa mtu! Mahindi, nyanya, mpunga, maharage, ngogwe, bamia, tango na hata mazao mengine yanakubali vizuri. Inasemekana jamaa ana acres kama 800 hivi kwenye bonde zuri sana na kilimo ni cha umwagiliaji kwa kutumia mifereji. Kwa kweli pako vizuri ila bei nayo naambiwa ni TZSH 70,000 kwa msimu, kwa kweli kama msimu huu hakuna shamba lililobaki maana kote ni kijani kizuri sana.

Ukipenda nitakuunganisha na mwenyekiti wa Kitongoji cha jirani kwa habari zaidi.

Asante nashukuru sana.
 
mimi nipo arusha, natafuta sehemu ambayo wanakodisha mashamba kwaajili ya kilimo, pia nahitaji kujua ni mazao gani hasa yanalimwa kwenye hayo mashamba. msaada tafadhali

Kaka sahau kabisa mambo ya kukodi mashamba Arusha, maana wameru wakishavuta bangi lao wanavamia mashamba hovyo hovyo na kuuana kama kuku
 
kumbe!! wameru ndo walivyo? mnaniogopesha. na ninataka sana kulima...sijui nifanyaje
 
Kama unawahanya Wameru njoo tazama mashamba yaliyoko post na uwanja ndogo wa ndege kisongo bila shaka utapata unachotaka!

Na kama unataka nikuunganishe na walengwa wa mashamba yenyewe!
 
Mkuu heshima kwako naona hii post ni ya zamani lakini simbaya pia kujua kisongo ipo wapi mkuu na wanakodisha kwa mfumogani beigani mazaogani ya stawi huko nipo intrest kulima
Kama unawahanya Wameru njoo tazama mashamba yaliyoko post na uwanja ndogo wa ndege kisongo bila shaka utapata unachotaka!

Na kama unataka nikuunganishe na walengwa wa mashamba yenyewe!
 
Shamba la takriba 0.75 acres linauzawa Arusha karibu na Mandela University TZS 9,000,000.00 negotiable

Pia Lipo shamba la Michungwa 35 acres Pangani, na plot yenye nyumba sakina, piga 0786262635. Kazi kwako
 
kama unataka mahindi nenda kiteto au babati, ni elf10 kukod eka,, kulima n elf40. mengineyo utayapata uko? msiulize maswal nimepita uko mara1 mtarud tena 2013 kwa ajil ya kilimo cha 2014.
 
Mkuu ulienda kulia kiteto kama ulivyo ahidi kama ndio tunaomba mrejesho mwaka huu nataka niwahi
 
Back
Top Bottom