Natafuta Mashamba ya kununua Morogoro

The hammer

JF-Expert Member
May 17, 2011
2,381
1,760
Wadau nauliza kwa yeyote ambaye ana taarifa za uhakika kuwa kuna mashamba yanauzwa kwa bei rahisi sana huko Moro kuwa hizo habari ni za kweli na hekari ni Tshs ngapi na ni maeneo gani hasa mashamba hayo yapo sokoni.
 
Wadau nauliza kwa yeyote ambaye ana taarifa za uhakika kuwa kuna mashamba yanauzwa kwa bei rahisi sana huko Moro kuwa hizo habari ni za kweli na hekari ni sh.ngapi na ni maeneo gani hasa mashamba hayo yapo sokoni.

Mkuu ukitaka mashamba au shamba huko morogoro au sehemu ingine yoyote ya JMT isipokuwa unguja na pemba inakubidi kwanza ubainishe eneo unalolitaka mfano kama ni morogoro je ni kilosa? kilombero? ulanga? na baada ya hapo linalofuata ni wewe kufunga safari hadi kwenye hilo eneo ulilolipenda, tatu unaenda kwa ofisi za ardhi za wilaya, wao watakuambia sehemu yalipo hayo mashamba/shamba,

Hatua ya nne ni kukutana na viongozi wa serkali za kata na vijiji za maeneo hayo sasa serkali za vijiji wakikubaliana na wewe wanahitisha mikutano mkuu na wanavijiji wanatoa mawazo na maoni yao, wakikubalia basi umepata mashamba/shamba, lakini kwa ukweli siyo mashamba wala shamba bali ni mapori ambayo mengine hayajawahi kukanywagwa na mwanadamu tangu uumbaji, hivyo mwisho kabisa ni kazi kwako kubadili pori kuwa shamba.

Gharama zitatofautiana kutoka eneo hadi eneo lakini kwa wastani ukijumlisha huduma zote kuanzia usafiri, chakula, malazi, kulipia vikao (sitting allowance) za serkali za kata/vijiji, kumtoa bwana ardhi ofisini, gharama ya kununua ardhi (pori) na kulisafisha ili liwe shamba ni 50,000.00 hadi 100,000.00 kwa hekari.
 
Mkuu ukitaka mashamba au
shamba huko morogoro au sehemu ingine yoyote ya JMT isipokuwa unguja na
pemba inakubidi kwanza ubainishe eneo unalolitaka mfano kama ni morogoro
je ni kilosa? kilombero? ulanga? na baada ya hapo linalofuata ni wewe
kufunga safari hadi kwenye hilo eneo ulilolipenda, tatu unaenda kwa
ofisi za ardhi za wilaya, wao watakuambia sehemu yalipo hayo
mashamba/shamba, hatua ya nne ni kukutana na viongozi wa serkali za kata
na vijiji za maeneo hayo sasa serkali za vijiji wakikubaliana na wewe
wanahitisha mikutano mkuu na wanavijiji wanatoa mawazo na maoni yao,
wakikubalia basi umepata mashamba/shamba, lakini kwa ukweli siyo
mashamba wala shamba bali ni mapori ambayo mengine hayajawahi
kukanywagwa na mwanadamu tangu uumbaji, hivyo mwisho kabisa ni kazi
kwako kubadili pori kuwa shamba.

Gharama zitatofautiana kutoka eneo hadi eneo lakini kwa wastani
ukijumlisha huduma zote kuanzia usafiri, chakula, malazi, kulipia vikao
(sitting allowance) za serkali za kata/vijiji, kumtoa bwana ardhi
ofisini, gharama ya kununua ardhi (pori) na kulisafisha ili liwe shamba
ni 50,000.00 hadi 100,000.00 kwa hekari.

Unahitaji ekari ngapi?
 
Pia na mashamba ya kukodi kwaajili ya kulima mpunga inakuwa je kwa kukodi yaani garama na procedure zake zikoje kwa anaejua anijuze.
 
kuna mashamba yanauzwa sehemu moja inaitwa mafuru ni part ya wilaya ya mvomero nyuma ya chuo cha sua ni karibu sana about 10 km kutoka sua ekari ni sh elf 60 kupima + hela ya kikao cha serikali ya kijiji
 
Asante kwataarifa kamanda. Mazao gani labda naweza lima eneo hilo? Hali ya maji ikoje huko? ubarikiwe.
 
kuna mashamba yanauzwa sehemu moja inaitwa mafuru ni part ya wilaya ya mvomero nyuma ya chuo cha sua ni karibu sana about 10 km kutoka sua ekari ni sh elf 60 kupima + hela ya kikao cha serikali ya kijiji

contacts basi kaka!!
 
hayo mashamba bado yapo?
 
kuna mashamba yanauzwa sehemu moja inaitwa mafuru ni part ya wilaya ya mvomero nyuma ya chuo cha sua ni karibu sana about 10 km kutoka sua ekari ni sh elf 60 kupima + hela ya kikao cha serikali ya kijiji
Haya mashamba bado yapo nahitaji heka 100 kwa bei ya sh 30,000 kwa hekari
 
Back
Top Bottom