Mashamba makubwa yanauzwa Morogoro

Mashamba yanauzwa mkoani Morogoro maeneo ya Msowelo katika wilaya ya Kilosa!jumla ya heka ziko 60 na bei kwa heka ni Tsh 310,000/= (laki tatu na kumi) ,maelewano yapo pia!yanafaa kwa kilimo cha mahindi,ufuta,alizeti etc!pia kuna heka kumi zinazofaa kwa kilimo cha umuagiliaji maji kwa mazao kama pilipili hoho,nyanya maji,nyanya chungu,pili pili mbuzi,mboga mboga etc,hizi zinauzwa kwa 370,000/= (laki tatu na sabini) kwa heka na maelewano yapo!

nahitaji kama heka 4 au 5, mashamba bado yapo? ni sms 0758 717754
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom