Mashairi ya Nyimbo mpya ya Diamond- Nasema Nawe

esc343

JF-Expert Member
Apr 17, 2014
354
580
Japo sio official release, lakini nimesikia hii nyimbo na naweza sema mashairi ya humu ni MOTO.

Kutwa viguru njiani majirani wote wamekuchoka,
Mara chumba cha fulani, mtu gani we kwako usiokaa
Washinda vibarazani ya wenzako kuropoka,
Ukome MWANA fulani ona uso ulivyokukobokaa,

Kujifanya mashuhuri, kumbe chaka umechakaa
Mwenzako mimi turufuu, si garasa
Mwenye NYOTA ya umaarufu si kupapasaa,
Tena jokeri la nguvu kwa karataa
Ile hodari manguvu si kwasakwasa

Sasa cjui ni entainment au dedi kwa bwana mcharo na madama.....
 
Dedication kwa wema na zari

Mchiriku amuachie A.T
 
Nasikia huu wimbo umevuja bado nashangaa kwanini nyimbo zake huvuja kila kukicha! Inaonesha Diamond hayuko makini kabisa kwenye utunzaji wa vitu vyake!

Lakini huu wimbo ni mzuri sana hakika Diamond ni mfanya biashara!
 
Thats why i prefer hip hop, hasa nyimbo ndo tayari? Kaanza taarabu.
 
Japo sio official release, lakini nimesikia hii nyimbo na naweza sema mashairi ya humu ni MOTO.

Kutwa viguru njiani majirani wote wamekuchoka,
Mara chumba cha fulani, mtu gani we kwako usiokaa
Washinda vibarazani ya wenzako kuropoka,
Ukome MWANA fulani ona uso ulivyokukobokaa,

Kujifanya mashuhuri, kumbe chaka umechakaa
Mwenzako mimi turufuu, si garasa
Mwenye NYOTA ya umaarufu si kupapasaa,
Tena jokeri la nguvu kwa karataa
Ile hodari manguvu si kwasakwasa

Sasa cjui ni entainment au dedi kwa bwana mcharo na madama.....

Dedication kwa Chocolate flavour na Sina wema sepeto halichimbui madini
 
Nasikia huu wimbo umevuja bado nashangaa kwanini nyimbo zake huvuja kila kukicha! Inaonesha Diamond hayuko makini kabisa kwenye utunzaji wa vitu vyake!

Lakini huu wimbo ni mzuri sana hakika Diamond ni mfanya biashara!

wimbo unavujishwa makusudi,we hujajua akili za hao majamaa,kila wimbo ni hivo hivo,wanavujisha ili kupima watu,wakiona unasifiwa ndo wanauachia
 
Nasikia huu wimbo umevuja bado nashangaa kwanini nyimbo zake huvuja kila kukicha! Inaonesha Diamond hayuko makini kabisa kwenye utunzaji wa vitu vyake!

Lakini huu wimbo ni mzuri sana hakika Diamond ni mfanya biashara!

Dats a strategy meeeen...anaangalia utakavyopokelewa
 
Nasikia huu wimbo umevuja bado nashangaa kwanini nyimbo zake huvuja kila kukicha! Inaonesha Diamond hayuko makini kabisa kwenye utunzaji wa vitu vyake!

Lakini huu wimbo ni mzuri sana hakika Diamond ni mfanya biashara!

Brother hii ishu ya Nassibu kuvujisha ili kupima upepo umekuwa ukililaumu so often lkn ndo hvo tena.
 
Atakuwa kauvujisha mwenyewe na nilitegemea hili litokee maana diamond mjanja akiachia track isipo kick kama alivyotaka ataachia nyingine.
Sasa nahisi aliona akiiachia watu watasema jamaa mbona kaachia track nyingi kwa muda mfupi kaamua aivujishe ila nimeipenda, ntampata wapi sikuielewa labda video tu.
Anajua biashara kijana hawapi watu nafasi
 
Back
Top Bottom