Telly SALUMU
Member
- Feb 13, 2014
- 6
- 0
mimi huisikwamba, sisi mashabiki wampira watimu za ulaya hatuna lolote 7b EUROPE hatujulikani, mnasemaje? miniko yanga hanga na ni mzalendo nifuateni!

ww Yanga anakujua nani kwani?!!!!
Nenda shule hata hueleweki
kwani asenali, manyuu hawajui wana mashabiki wao Dar es salaam, Tz ??!!!Yanga wanajua wanamashabiki wao wa Manzese, Tabata na Kimara.
kwani asenali, manyuu hawajui wana mashabiki wao Dar es salaam, Tz ??!!!
Man utd wangekuwa hawaijui tz wasingemtuma balozi wao Andy Cole kuja Tanzania kutafuta vipaji, kwa ile ishu ya rising star iliyodhaminiwa na Airtel.Ningekuona unaakili kama ungeniuliza hata kama Tanzania wanaijua.
Man utd wangekuwa hawaijui tz wasingemtuma balozi wao Andy Cole kuja Tanzania kutafuta vipaji, kwa ile ishu ya rising star iliyodhaminiwa na Airtel.
Kuja kutafuta vipaji Tanzania?!
Kalaghabaho.
Watu wanatumia fursa wewe unasema wamekuja kutafuta vipaji.
Si unaona hata World Bank na IMF wanavyotupa misaada? Ni kwasababu Wazungu wanatupenda na kutujali ndiyo maana ingawa wanamatatizo yao lakini wanatoa hela zao wanatupatia sisi. LOL!
Ni kwa akili kama zako za namna hii ndiyo zitakazofanya CCM itawale hii nchi milele.
Mashabiki wa Yanga hatuandiki kama hivyo unavyoandika wewe