Mashabiki wasiojulikana

Telly SALUMU

Member
Feb 13, 2014
6
0
mimi huisikwamba, sisi mashabiki wampira watimu za ulaya hatuna lolote 7b EUROPE hatujulikani, mnasemaje? miniko yanga hanga na ni mzalendo nifuateni!
 
Kama Eto'o na hela zake wanamwita nyani sasa wewe shabiki wa Mbagala sijui watakuita nani!

Wazungu walivyo na dharau wakijua kuna mtu kutoka Tandale anaishabikia timu yao watahisi ni laana.
 
Yan kama etoo n nyan,rooney ni kitimoto na yule beki wa chelsie mwenye kibinda tunamwita kishuz,waafrika ni muda wetu wa kujibu dharau za hawa nguruwe
 
Ningekuona unaakili kama ungeniuliza hata kama Tanzania wanaijua.
Man utd wangekuwa hawaijui tz wasingemtuma balozi wao Andy Cole kuja Tanzania kutafuta vipaji, kwa ile ishu ya rising star iliyodhaminiwa na Airtel.

images
images
images
 
Man utd wangekuwa hawaijui tz wasingemtuma balozi wao Andy Cole kuja Tanzania kutafuta vipaji, kwa ile ishu ya rising star iliyodhaminiwa na Airtel.

images
images
images

Kuja kutafuta vipaji Tanzania?!

Kalaghabaho.

Watu wanatumia fursa wewe unasema wamekuja kutafuta vipaji.

Si unaona hata World Bank na IMF wanavyotupa misaada? Ni kwasababu Wazungu wanatupenda na kutujali ndiyo maana ingawa wanamatatizo yao lakini wanatoa hela zao wanatupatia sisi. LOL!

Ni kwa akili kama zako za namna hii ndiyo zitakazofanya CCM itawale hii nchi milele.
 
Mods kama mnaweza ongezeni kigezo cha mtu kuingia Jf awe mtu mzima na mwenye akili timamu.Ushauri tu
 
Kuja kutafuta vipaji Tanzania?!

Kalaghabaho.

Watu wanatumia fursa wewe unasema wamekuja kutafuta vipaji.

Si unaona hata World Bank na IMF wanavyotupa misaada? Ni kwasababu Wazungu wanatupenda na kutujali ndiyo maana ingawa wanamatatizo yao lakini wanatoa hela zao wanatupatia sisi. LOL!

Ni kwa akili kama zako za namna hii ndiyo zitakazofanya CCM itawale hii nchi milele.

swali lako kama man utd wanaijua au hawaijui Tz limeshajibiwa, hayo mengine ni ngonjera na porojo!

eti wazungu hawaijui tz, wasingekuja kuweka makoloni toka enzi hizo babu zako anavaa majani, wakaja na kukupa hiyo elimu unayojifanya kuelimika zaidi kuliko wao waliokuletea shule hizo na kuwabeza eti hawaijui Tz!

Man utd wanafahamu wana mashabiki Dunia nzima, labda useme mashabiki wa tz ni mko ignored tu (hamtambuliki), hivyo bora ushabikie local club unajua makao makuu yake, na unaweza ukawa hata mwanachama au kugombea uongozi wa Yanga. Vilevile kutotambulika haimaanishi hufahamiki.
 
Mashabiki wa Yanga hatuandiki kama hivyo unavyoandika wewe
 
Back
Top Bottom