punainen-red
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 1,731
- 450
Mkuu, ongezea na MASHOGA, au umesahau Neville na Scholes???mkuu wa chuo cha wabakaji kama giggs, wavuta bangi kama rio, waasherati kama rooney, wacheza kamari kama fergie
Mkuu, ongezea na MASHOGA, au umesahau Neville na Scholes???mkuu wa chuo cha wabakaji kama giggs, wavuta bangi kama rio, waasherati kama rooney, wacheza kamari kama fergie
Mkubwa!
Kwa jina unalotumia,matamushi uliyotoa haifananini na jina unatumia!
Hebu rudia tena maneno yako!
Unaonyesha usivyoijua issue unayoiongelea! Sanasana utakuwa umekaririshwa tu... Na huyo mzungu wenu evra angeambiwa maneno hayohayo uliyowaita mashabiki wa Liver mngeanza makelele kuwa ametukanwa kwa sababu ni 'mzungu' maana akiitwa mwafrika hamtaki!!!
mkuu wa chuo cha wabakaji kama giggs, wavuta bangi kama rio, waasherati kama rooney, wacheza kamari kama fergie
Mkuu, ongezea na MASHOGA, au umesahau Neville na Scholes???
unajua nini mkuu mashabiki wa manure from old trashford huwa wanautindio wa ubongo kama vipi lipotezee..
Bahati mbaya sana kwako ni kuwa kuniita mimi mlevi hakunifanyi kuwa mlevi!!! Pole sana.kwanza washabiki wote wa liverpool wanajulikana ni walevi, na wewe bila shaka utakuwa ni mlevi tu!
Unazidi kujionyesha ulivyo hodari wa kukariri na usivyoweza kutumia utashi wako kupambanua mambo!!! Hebu tuchukue mfano wa hao bbc uliowataja hapo; Umewahi kuona statement ya mzungu evra ambayo pia bbc haohao unaowaamini waliiweka hadharani?! Unaweza kutuwekea hapa maneno ambayo evra alimtamkia Suarez kabla ya kuambiwa 'siongei na negrito?' Kwako wewe kile tu wanachokutangazia FA ndicho sahihi?! Endelea kukariri....sawa bwana, naona wewe ulikuwepo kule Anfield ndio maana unaijua issue fresh sie tumeona tu kwenye vyombo vya habari ndio maana tumekaririshwa! Naona na unamjua zaidi Suarez hadi kuwazidi supersport, goal.com pamoja na bbc. Lakini dhambi ya ubaguzi ni mbaya sana!
sawa bwana, naona wewe ulikuwepo kule Anfield ndio maana unaijua issue fresh sie tumeona tu kwenye vyombo vya habari ndio maana tumekaririshwa! Naona na unamjua zaidi Suarez hadi kuwazidi supersport, goal.com pamoja na bbc. Lakini dhambi ya ubaguzi ni mbaya sana!
Unazidi kujionyesha ulivyo hodari wa kukariri na usivyoweza kutumia utashi wako kupambanua mambo!!! Hebu tuchukue mfano wa hao bbc uliowataja hapo; Umewahi kuona statement ya mzungu evra ambayo pia bbc haohao unaowaamini waliiweka hadharani?! Unaweza kutuwekea hapa maneno ambayo evra alimtamkia Suarez kabla ya kuambiwa 'siongei na negrito?' Kwako wewe kile tu wanachokutangazia FA ndicho sahihi?! Endelea kukariri....
Hao BBC n Goal.com ni wanafiki kinoma issue ya Suarez ungejaribu kufatilia Media nying zilizo nje ya England ndo ungeilewa vizuri
Kumbe hujui lolote?! evra akiitwa mwafrika analalamika kubaguliwa na nyie mnamuunga mkono! Sasa anataka aitweje???hebu tupe hiyo statement, kwani ni lini evra amegeuka kuwa mzungu! Mkifungwa leo nafikiri itakuwa safi sana.
yaani kuongea ukweli unaitwa una utindio wa ubongo, lakini siwezi bishana na shabiki wa Man City kwasababu Man city haijafikia hata nusu ya mafanikio ya Man united, sasa kwa mtindo huo tutaongea nini!? Ni sawa sawa na kubishana eti kiungo Boban na Silva nani mkali!? Hapo nitaonekana mwehu kama wewe!
Kumbe hujui lolote?! evra akiitwa mwafrika analalamika kubaguliwa na nyie mnamuunga mkono! Sasa anataka aitweje???
Kumbe hujui lolote?! evra akiitwa mwafrika analalamika kubaguliwa na nyie mnamuunga mkono! Sasa anataka aitweje???
anataka kuitwa nyani..
Acha kujidhalilisha hapa! Kama hujui tafuta ujue mzungu evra alimuitaje Suarez kabla ya kuitwa negrito, ikiwa huwezi kupata na kulielewa jambo rahisi hivyo hatuna namna ya kukusaidia hapa... Na hata tungechukua hiyo unayoita hoja, nashindwa kukuelewa asili yako ina ugonjwa gani wa aibu hadi uone kero kuitwa kwa asili yako!!!tunataka aitwe evra, kwanini ni Suarez!? Asiwe ni mwingine au Suarez anapenda kuwaita watu kwa asili zao, acha hoja dhaifu!
Acha kujidhalilisha hapa! Kama hujui tafuta ujue mzungu evra alimuitaje Suarez kabla ya kuitwa negrito, ikiwa huwezi kupata na kulielewa jambo rahisi hivyo hatuna namna ya kukusaidia hapa... Na hata tungechukua hiyo unayoita hoja, nashindwa kukuelewa asili yako ina ugonjwa gani wa aibu hadi uone kero kuitwa kwa asili yako!!!
Mbona iko hapahapa mkuu?! Itafute 'Liverpool fc, special thread' samahani kuwa sina namna nzuri ya kukuelekeza.. lakini utaiona kwenye jukwaa hilihili la michezo.