Ahyan
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 1,765
- 4,175
- Tulianza na la suala la usajili kipindi kile akina Aziz Ki
- Tukarudi kwa Kisinda
- Tukaenda kwa Feisal
- Tukarudi CAF na mvua
- Tukawagongea nguma ya mechi za ugenini CAF
- Tukaja kwenye nusu fainali CAFCC na fainali yake
- Tukahamia kwenye medali za CAF
- Tukarudi kwenye kiatu NBC PL
- Sasa tupo kwenye Bingwa wa AFC, na Simba kucheza CAFCC msimu ujao.
NB: Mna takribani miaka 10 ya kucheza ngoma ya Mabingwa Yanga, hivyo kazeni vibwebwe.