Masasi: Nyumba ya mbunge, magari 20, trekta vyachomwa moto... Watu wawili wadaiwa kuuawa!

Habari nilizozipata hivi punde kutoka Masasi ni kuwa maandamano yameanza tena na safari hii yanaongozwa na dereva boda boda ambao wameingia barabarani.

Source rafiki yangu ambae yupo Masasi muda huu
Updates
Risasi za moto na mabomu ya machozi yanapigwa kutawanya watu na tayari nyumba moja imechomwa moto. Gari la maji ya kuwasha limefika ila bado watu wanazidi kuongezeka
Updates
Tayari gari na nyumba ya mbunge imechomwa moto na vijanga wanazidi kusonga mbele wakiwa na madumu ya petrol
Updates.
Mahakama ya mwanzo imechomwa.moto na polisi wamejifungia ndani.wanarusha mabomu ya machozi wakiwa ndani. Askari magereza wamejaribu kuwasha gari la maji ya kuwasha lakini bahati mbaya halina.maji hivyo wakashuka na kukimbia na wananchi wanataka kulichoma moto

mkuu nipo..bar ya sewa buguruni nakunywa bia...ebwana i.t.v...habali zilizotufikia wanaonyeshaaa....naangalia live hapa bar watu wamejaa kweli kweli....aisee watu hawamini kama tupo tanzania....au vaticany city
 
Nimeongea na jamaa yangu aliyeko Mtwara mjini ila kwasasa yuko pwani kwenye hafla kanambia kuwa anasikia mabomu kwa mbali mjini kwamba maandamano ya watu yameanza tena. Kazi ipo!!!!
 
watu wengine kwa kukurupuka sasa ndio kapost nini hapo coz sion cha kuchangia!
"Eti watu wanaandamana wakiongozwa napikipiki"

sababu hutaji.. Ilmradi tu na wewe umepost

too much criticism spoils your mind.
 
Yanapita tu haya, ni mapema mno kwa nchi yenye amani kama hii kufika unakodhani

Mkuu unadhani haya mambo yataishaje!? kama mabomu wamepiga tangu juzi hadi sasa hakuna kitu, kifupi ni kuwa wananchi wamechoka, litaisha la gesi litaibuka jingine,viongozi wetu wakiendelea hivi kinanuka mazima hivihivi tunaona
 
Pamoja na elimu nafikiri ushirikishwaji ni kitu muhimu . The Top-Bottom approach is not working.. Watu waamue wenyewe wanataka maendeleo ya namna gani, wakati gani na kwa jinsi gani. Kama serikali inataka kushawishi itumie hoja.
 
Hivi wakuu, serikali hadi sasa imechukua hatua gani kumaliza sakata hili la gesi kwa njia za amani? Hebu angalia mtiririko wa matukio tangua wiki ianze. Kila kona nchini watu wanaandamana na mabomu yanatumika. Where is this country heading for? Hakuna kitu kubaya kama ombwe la uongozi katika nchi!

Wako Bize kumuandama Dr Slaa na Chadema!
 
Habari nilizozipata hivi punde kutoka Masasi ni kuwa maandamano yameanza tena na safari hii yanaongozwa na dereva boda boda ambao wameingia barabarani.

Source rafiki yangu ambae yupo Masasi muda huu
Updates
Risasi za moto na mabomu ya machozi yanapigwa kutawanya watu na tayari nyumba moja imechomwa moto. Gari la maji ya kuwasha limefika ila bado watu wanazidi kuongezeka
Updates
Tayari gari na nyumba ya mbunge imechomwa moto na vijanga wanazidi kusonga mbele wakiwa na madumu ya petrol
Updates.
Mahakama ya mwanzo imechomwa.moto na polisi wamejifungia ndani.wanarusha mabomu ya machozi wakiwa ndani. Askari magereza wamejaribu kuwasha gari la maji ya kuwasha lakini bahati mbaya halina.maji hivyo wakashuka na kukimbia na wananchi wanataka kulichoma moto

Unamaanisha mahakama nyingine tofauti na ile iliyolipotiwa jana? Hii ni nyingine?
 
Hapa Hapana mmary lazima ungemalizia usiingeileta nusu kwani ulivyotoa ni km uchochezi
  • Ni maandamano ya kudai Gesi inayotoka na yenyewe huko masasi isiende Dar au Dodoma?
  • Ni Maandamano ya kuipinga Serikali isiwabane Waalimu
  • Maandamano ya kuwatetea maDr wapewe Milioni 7
  • Maandamano ya kukitoa Chama Tawala kwa kuendekeza mauaji ya v2 vya ncha kali na mabomu
  • Maandamano ya kunyanganywa Ardhi Kilosa
  • Maandamano ya kupinga kuchinjiwa wanyama na waumini wa Dini ingine
  • Maandamano ya Kiongozi kuwa na Kadi 2
  • Maandamano ya Wachochezi wa wachomaji wa nyumba za Ibada

KUMBE MAANDAMANO YA BODABODA yaani mpaka wenzako wamekuja kuktuelezea kisa kamili
Mm nashauri wote waandamane wakichoka watalala kwanza ni zoezi la kupunguza sukari maana vijana siku hizi hata Mgambo hampitii kupata hizo Pikipiki mnataka Nchi yote muimiliki

Hata taarifa ya habari uanza na muhkutasari wake na ndio maana nikaja na updates. Labda nikuulize unajua maana ya breaking news au news alert?
 
Last edited by a moderator:
Kinachoendelea! Nyumba ya mbunge Mama Kasembe imechomwa moto pamoja na magari(cruiser na tractor) nyumba ya Mama Anna Abdallah nayo inachomwa kituo cha polic kuna vuguru magar ya ktuoni apo yamepgwa mawe

Picha vpi?
 
Naanza kupata hisia za Mwamunyange kupeleka vijana wake kufunga kazi
 
Ktk hali isio kuwa yakawaida wanachi wenye hasira kali wamechoma mali za mbunge wa mtwara MAMA KASEMBE, ILIKUWA NI MUDA WA ASUBUHI PALE WANACHI PAMOJA NA MADEREVA WA BODA BODA WALIPO VAMIA NYUMA YAKE NA KUVUNYA THAMANI NA KUCHOMA MOTO, LIKIWAMO GARI LAKE LA KUTEMBELEA NA TRECTA. Mmoja wamashuhuda walio kuwepo wanasema wanachi hao wamefanya hivyo baada yakuona mh uyo awasaidii chochote isipokuwa kuwauza, ikumbukwe masasi ni moa ya wilaya mpaka sasa hawjalipwa hela za korosho na inasemekana wanachi wamekosa msemaji na kuamua kuchukua sheria mkononi, pia huyu mama hakuwa chaguo la wengi jambo ambalo linafanya kuwa na maadui wengi ambao aliwashinda ktk hali isio julikana. zaidi tutawajuza kutoka masasi.

Wabunge wengi wa ccm hawakuingia kihalali
 
Hapa Hapana mmary lazima ungemalizia usiingeileta nusu kwani ulivyotoa ni km uchochezi
  • Ni maandamano ya kudai Gesi inayotoka na yenyewe huko masasi isiende Dar au Dodoma?
  • Ni Maandamano ya kuipinga Serikali isiwabane Waalimu
  • Maandamano ya kuwatetea maDr wapewe Milioni 7
  • Maandamano ya kukitoa Chama Tawala kwa kuendekeza mauaji ya v2 vya ncha kali na mabomu
  • Maandamano ya kunyanganywa Ardhi Kilosa
  • Maandamano ya kupinga kuchinjiwa wanyama na waumini wa Dini ingine
  • Maandamano ya Kiongozi kuwa na Kadi 2
  • Maandamano ya Wachochezi wa wachomaji wa nyumba za Ibada

KUMBE MAANDAMANO YA BODABODA yaani mpaka wenzako wamekuja kuktuelezea kisa kamili
Mm nashauri wote waandamane wakichoka watalala kwanza ni zoezi la kupunguza sukari maana vijana siku hizi hata Mgambo hampitii kupata hizo Pikipiki mnataka Nchi yote muimiliki
Aisee ina maana wewe huoni athari za maandamano?! au aina ya maandamano na waandamanaji ndicho unachojali!!?
Kwa ufahamisho ni hatua mbaya kwa watawala (kama wewe ni mmojawapo ogopa) nyumba za watawala zinachomwa hali hii ni sawa tu? hadi useme wakichoka watalala!! eti maandamano ni mazoezi!?Tafakari -----
 
Taarifa niliyoipata sasa ni kuwa nyumba ya Anna Abdallah (mke wa msekwa) na mwenyekiti wa bodi ya korosho, nyumba iko masasi nayo imechomwa moto. Hali ni tete maana askari wamezidiwa na wananchi wenye hasira za kati (hazijawa kali). Hasira zikiwa kali wanakuja kuichoma magogoni guest house pale karibu na soko la samaki.

Vijana wanapanda pikipiki kwa style ya mishikaki wakiwa watatu na wanatafuta polisi au kiongozi yeyote wa CCM ili wam barbeque
Chezeya Makonde Republica................
 
Back
Top Bottom