Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 1,833
- 4,586
"Hili tatizo (nguvu za kiume) tunalitambua na tatizo hili niseme tu kwa kifupi kwamba chanzo chake kikubwa ni lishe duni hasa kwa jamii ya sasa hivi.
Katika utafiti tulipokuwa tukilinganisha watu wa mjini na vijijini, kule vijijini watu hawahangaiki kutafuta dawa za nguvu za kiume na ukiangalia mfano mzuri ni walioko Mwambao Ziwa Victoria.
Kule imeonekana wana nguvu mtu mmoja anawatoto 13, mama amezaa sana na baba bado yuko imara. Ukiangalia maisha yao ni ulaji, wanakula samaki, maziwa, ugali wa mtama umechanganywa na muhogo na bado wanakula mboga za porini" - Prof. Hamis Masanja Malebo - Mwenyekiti wa Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala