Masanja Malebo: Wanaume wa Kanda ya Ziwa wana nguvu za kiume

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,820
4,572
1687864256868.png

"Hili tatizo (nguvu za kiume) tunalitambua na tatizo hili niseme tu kwa kifupi kwamba chanzo chake kikubwa ni lishe duni hasa kwa jamii ya sasa hivi.

Katika utafiti tulipokuwa tukilinganisha watu wa mjini na vijijini, kule vijijini watu hawahangaiki kutafuta dawa za nguvu za kiume na ukiangalia mfano mzuri ni walioko Mwambao Ziwa Victoria.

Kule imeonekana wana nguvu mtu mmoja anawatoto 13, mama amezaa sana na baba bado yuko imara. Ukiangalia maisha yao ni ulaji, wanakula samaki, maziwa, ugali wa mtama umechanganywa na muhogo na bado wanakula mboga za porini" - Prof. Hamis Masanja Malebo - Mwenyekiti wa Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala
 
Sasa uishi mjini uzae watoto kumi na tatu, wanakula misikitini au?
Ashasema hao ni mwambao wa victoria hata maji watakunywa hao.
Mjini watu wanatafuta dawa za kupiga show kali sio kuongeza nguvu za kiume
 
Siri siyo lishe. Watu wa mijini wana lishe nzuri kuliko vijijini. Ishu ni sedentary lifestyle ya watu wa mjini. watu wa mjini legelege sana.
 
"Hili tatizo (nguvu za kiume) tunalitambua na tatizo hili niseme tu kwa kifupi kwamba chanzo chake kikubwa ni lishe duni hasa kwa jamii ya sasa hivi.

Katika utafiti tulipokuwa tukilinganisha watu wa mjini na vijijini, kule vijijini watu hawahangaiki kutafuta dawa za nguvu za kiume na ukiangalia mfano mzuri ni walioko Mwambao Ziwa Victoria.

Kule imeonekana wana nguvu mtu mmoja anawatoto 13, mama amezaa sana na baba bado yuko imara. Ukiangalia maisha yao ni ulaji, wanakula samaki, maziwa, ugali wa mtama umechanganywa na muhogo na bado wanakula mboga za porini" - Prof. Hamis Masanja Malebo - Mwenyekiti wa Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala
Alipelekewa moto huyo choko bila shaka.
 
Haswaa, ukikuta kuna watu wanatumia Vumbi la Congo wametoka nje ya kanda ya ziwa.
Watu wa huku hakuna story za upungufu wa nguvu za Kiume
 
Back
Top Bottom