miburo kamuanda
Member
- Oct 27, 2014
- 43
- 3
ina nn
Nimeangalia jana.... sijaona hata la ajabu hivyooo kusema ikatazwe kuonyesha ina scene za kimapenzi ila sio nasty kihivyoo Inapendeza uangalie na mwenza wako lol..
Nimempenda Christian... yaani ni yule mkaka romantic.. smart.. confident... ukiachie zile habari za whipping na mambo ya kuwa submissive... kama ni mpenzi wako anakupa sababu ya kumpenda zaidi na zaidi. Wakati naangalia nilikua na imagine mavitu kibao. Sijapenda ilivyoishia though au itakua na muendelezo??
Hawa walioiban ndio wamenipa sababu ya kuzidi kuitafuta zaidi.
....Itaendelea Heaven on Earth, vitabu viko vitatu na hii iliyotoka ni ya kitabu kimoja tu.
Okay hapo sawa.., sijawahi soma hivyo vitabu.