Marufuku kuonyesha filamu ya Fifty Shades of Grey

Huko sinema hata sijawahi kwenda hapa ni mwendo wa pirates bay mwanzo mwisho
 
Duuuhh poleni wapendwa.

Hata na hivyo vitabu vinavuta hisia na kupeleka fikra mbali zaidi kuliko movie.
Movie hawakuweza kuweka details tam tam kama kwenye vitabu so kama umesoma vitabu vyote vitatu
haujakosa kitu chochote.

PS.( I heard the 4th book is coming out soon, I can't wait )-:)
 
Hata sikuwa naifahamu, nianze mchakato wa kutafuta kitabu pamoja na movie yenyewe.
 
Hao watu wabodi wameingalia wapi? Au ni mambo ya copy and paste kutoka nchi nyingine!
 
BAK

Kitu gani cha ajabu ambacho watu hawajui?

Hakika wamekurupuka.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
I think the book is better although it also slightly disappointed me, y'know all the hype about it.. I have watched my pirated copy and my version of Christian Grey is SO NOT the lead actor...just my version
 
I think the book is better although it also slightly disappointed me, y'know all the hype about it.. I have watched my pirated copy and my version of Christian Grey is SO NOT the lead actor...just my version

Yap kitabu kina vitu vingi mno movie haijatosholeza kama kitabu kilivyo. Ila bado sioni sababu ua kuzuia watu kuona
 
Tunapenda kuchanganya madesa...wao wameagiza kumbi za Sinema zisioneshe hii muvi hawajapinga wananchi wasitazame kwa nafasi zao. Haya mambo hayawezi kuachwa hivi hivi eti kisa kuna watanzania wataweza kuangalia online ama vinginevyo. Sigara zimekatazwa lakini hazijazuiwa sasa ukienda kwa mtazamo huo mtapata picha nini kinapaswa kufanywa
 
Back
Top Bottom