Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 23,412
- 36,569
Yes tunaujuaji mwingi sometimes, Lakini kwa namna suala la Covid 19 alivyolisimamia JPM,angeamua vinginevyo hali ungekuwa mbaya sana hasa mji kama DSM ambapo asilimia kubwa Baba akitoka, familia nyumbani ndiyo wanapata chakula.Tuwe wakweli kuna mazuri mengi na mapungufu hayawezi kuepukika,leo Bureau de change zipo kila kona,ila ukienda hata dollar mia hupati,ukiuza wananunua,ila wao wanaenda kuuza Black market,leo Kkoo bila 2850 hupati.Jpm alipozifunga, dollars hadi elf 20 Bank walikuwa wanatoa......... Yes kwenye kuziondoa inawezekana haukuwa utaratibu mzuri ila uwepo wake ni kaa la moto,kila siku zinaota kama uyoga,ila wanaficha kwaajili ya black market............. JPM alifanya mazuri pia,tusiwe negative tu kila Uzi.