Marry your best friend you will be happy

ISSUE IPO HIVI
Wanawake huwa Wanapenda wasipopendwa na kuwaumiza wale wanaowapenda kwa kuwakataa na kukumbatia Vimeo wasio na Shukrani kwa kupendwa!
Shida ya Wanaume ni pale wanapokazana kuwaumiza wale wadada wa watu maskini wanaowapenda mpaka kufa na kupenda ile Migubegube isiyo na hadhi ambao wako kwa ajili ya Physical Appearance au Hela bila Mapenzi ya dhati!
MWISHO NDOA VIMEO
 
Jamani kuepusha kasheshe kuchunguzana na ugomvi wa uzushi Kwenye mapenzi kwa nini msioe au date your best friend?

Halid na Philemon walipendana na mapenzi yao yakadumu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Cause you might end up loosing your best friend as well... (turning him/her into an enemy)

I think you have it backwards..., we need to make our partners our best friends and not necessarily making our best friends partners) ..., There's a big difference between the two
 
Marry your best friend mtu unaemjua
 
ISSUE IPO HIVI
Wanawake huwa Wanapenda wasipopendwa na kuwaumiza wale wanaowapenda kwa kuwakataa na kukumbatia Vimeo wasio na Shukrani kwa kupendwa!
Shida ya Wanaume ni pale wanapokazana kuwaumiza wale wadada wa watu maskini wanaowapenda mpaka kufa na kupenda ile Migubegube isiyo na hadhi ambao wako kwa ajili ya Physical Appearance au Hela bila Mapenzi ya dhati!
MWISHO NDOA VIMEO

Watu hawaoani kuumizana
 
Je,hHuyo "muzungu" wako alikuwa your best friend/date au ulimuibukia/ulimganda tu pale coco beach?
 
Kuna ukweli kwa mbali ktk wazo lako Natalia
FOR FRIENDSHIP ENDS IN LOVE but LOVE IN FRIENDSHIP NEVER.
 
Marry your best friend mtu unaemjua

Well watu wote huwa unawajua mpaka pale unakapowajua... In short ni kwamba sababu mtu mnajuana na mnaendana tabia haimaanishi mtakapokuwa under one roof mtaendelea kuwa in the same wavelength.., nadhani cha maana ni uvumilivu na ukishampata mwenza mfanye awe rafiki yako, share hobbies and compromise as well..
 
ISSUE IPO HIVI
Wanawake huwa Wanapenda wasipopendwa na kuwaumiza wale wanaowapenda kwa kuwakataa na kukumbatia Vimeo wasio na Shukrani kwa kupendwa!
Shida ya Wanaume ni pale wanapokazana kuwaumiza wale wadada wa watu maskini wanaowapenda mpaka kufa na kupenda ile Migubegube isiyo na hadhi ambao wako kwa ajili ya Physical Appearance au Hela bila Mapenzi ya dhati!
MWISHO NDOA VIMEO

you have talked
 
Ukweli ni kwamba katika urafiki kuna kuficha uhalisia wetu, siku mkiwa wapenzi ndio utajua yaliyofichika.
 
Is in't it the other way round? Kwamba mkiwa wapenzi mnaweza kufichana (hata bila kufanya kusudi) ila mkiwa marafiki ndio mnajiachia? Sokwe Mjanja ningependa nikuskie on this topic.
 
Last edited by a moderator:
Jamani kuepusha kasheshe kuchunguzana na ugomvi wa uzushi Kwenye mapenzi kwa nini msioe au date your best friend?

best frend zangu wote wanaogopa kunitokea, hata nikiwaanza wanakwepa , daz this mins ctakua na happy marriage, usinijibu ntalia bure
 
Is in't it the other way round? Kwamba mkiwa wapenzi mnaweza kufichana (hata bila kufanya kusudi) ila mkiwa marafiki ndio mnajiachia? Sokwe Mjanja ningependa nikuskie on this topic.

umesema , kiukweli rafiki yako anakua huru kukwambia yote na haogopi coz anajua hatakuumiza hisia as rafiki lakini mpenzi full kupretend yu mwema ol the time
 
Jamani kuepusha kasheshe kuchunguzana na ugomvi wa uzushi Kwenye mapenzi kwa nini msioe au date your best friend?

Unjua nini natalia:
ur best friend anaweza kuwa kabisa ana enjoy tu na wewe bila wewe kujua,uwapo nae mnafanya kila kitu cha furaha,bt jamaa anajua fika kuishi na wewe he may incur are some kind of cost,NOT money,bt sababu hamjaoana inakuwa haimpi taabu,ila akifikiria tu kukuoa shida ndo inakuja,then,wakati huo hawezi kukuacha coz anakuwa hajapata wakumuoa,akipata tu,ndo utasikia anakutaarifu kua anatarajia kuoa next month,SIO wasiojua siri ile wanamfikiria mjinga,hafikirii,kumbe alishatafakari long time....
 
Is in't it the other way round? Kwamba mkiwa wapenzi mnaweza kufichana (hata bila kufanya kusudi) ila mkiwa marafiki ndio mnajiachia? Sokwe Mjanja ningependa nikuskie on this topic.

I beg to differ, kwenye urafiki people tend not to show thier inner feelings kwa sana after all we are friends and we have limits with how far we can go or even question. Hata mkianza kupenda as friends, mtu mwenye wivu hatasema cause he/she is just a friend. But with lovers, duh. Kila kitu kinachokuhusu kinamhusu na yeye, ndio utashangaa, mbona kipindi jambo hili lilikuwa halimkeri. Anyway "The only rule with love is that there are no rules"
 
Unatakiwa kumfanya mpenzi awe rafiki yako, maana ukishakuwa unaishi na mpenzi kama marafiki kila kitu kitaenda sawa!

Lakini kumbadilisha rafiki yako kuwa mpenzi, wengi jibu mnalo.....sana sana mtaishia kuwa maadui!

Utasaikia, "yule kaka alikuwa rafiki yangu sana....nashangaa baada ya muda akanitongoza"

FRIENDSHIP mara nyingi huwa Unconditional, huwa inatokea tu na huwezi kupretend! Lakini mapenzi yana vgezo vingi mpaka mtu anaingia huko sasa whether ni vibaya au vizuri, lakini vina regulate the whole theme!
 
Jamani kuepusha kasheshe kuchunguzana na ugomvi wa uzushi Kwenye mapenzi kwa nini msioe au date your best friend?
Inategemea best friends wengine anakuwa amekuzoe tu akaamini anakupenda akikuweka ndani ndo anagundua haukuwa upendo na urafiki unakwisha mnaishi kama hamkuwahi kuwa marafiki.
 
Back
Top Bottom