married woman needed by married man

Mimi ni mwanaume niliyeoa, ninatamani pia kupata mke wa mtu mwingine, vipi unaweza kuni-PM namba ya wife wako? Maana unaonekana umemchoka though unadmit kuwa she is very smart and idealistic.

Niko kwenye PM.

find your own way cant help you on that,
 
Hapo hapana! Unataka urafiki na mke wa mtu alafu? Kwanini unakataa kumpa Kanigini namba ya mkeo?

That trick is too cheap bro, tafuta njia nyingine.
 
i can see, tonge la ugali linataka kuwa rafiki na msusa wa karanga.

Mkimezana mniambie nije kuwasaidia kusikiliza utamu.
 
Hapo hapana! Unataka urafiki na mke wa mtu alafu? Kwanini unakataa kumpa Kanigini namba ya mkeo?

That trick is too cheap bro, tafuta njia nyingine.

we soma maelezo yangu yotebutaelewa reasons nilizotoa
its her number not mine,
kwani mi nimeomba namba ya mke wa mtu hapa
to start with nilishasema sitaki mawasiliano ya kwenye simu.
kwanza nashangaa sijaona any comment from married women ni nyie wanaume tu mnaona wivu
 
I see na mimi natafuta mke wa mtu, nyumbani kwangu kuna panya wengi sana maana nimeambiwa mke wa mtu ni sumu.
 
Wake za watu ni washauri wazuri sana. Hata mimi sijaoa ila nina marafiki wengi ambao ni wake za watu. Wananishauri sana, na ushauri wao siku zote umekuwa positive. I like and love them

umeona!!! watu wanafikiria ngono tu hapa.
ukijua unachokifanya its helpfull kwako na kwake tatizomwadau wa JF wanaona the wrong side of it
 
I see na mimi natafuta mke wa mtu, nyumbani kwangu kuna panya wengi sana maana nimeambiwa mke wa mtu ni sumu.
 
hapa hamna love wala lust.
try it utaona, its very helpful for both of the marriages.
Hata sikuelewi manake it must either be love or lust, sasa kamanda wangu kama umekataa yote mi nielewe nini? Umesimama wapi? You must either be cold or warm, you can't be cold and warm at the same time. Its just a logical contradiction, and this renders the whole argument fallacious!!!!
 
na mimi nimeamua kutafuta mke wa mtu ambaye mumewe hana muda naye
purpose ni kuongea naye na kushauriana mambo kadhaa

recently nimegundua married women are very smart and idealistic (my wife included)
alafu wengi ni washauri wazuri sana tatizo everyone avoids kuwazoea


am considering the ones aged between 20 - 40 only cz I also fall under the same age range
awe serious na aheshimu mipaka particularly matumizi ya simu.

Nipo kwenye PM

utafutaji mwema but MKE/MME wa mtu ni sumu kali.
 
Acha fujo Mathematics,watu wanataka ku extend ndoa zao hapo kiroja kiko wapi?

kiroja hukioni hapo? huyu bwana ana nia gani na mke wa mtu , ushauri tu? mwenyewe anakataa na kusisitiza sio ngono eti ni ushauri tu!
kama ni ku-extend mbona singo gals wamejaa kibao kwanini atake mke wa mtu tu, wake za watu sio wasumbufu, ataheshimu muda wa kupiga simu na kutuma msg?
siri anaijua yeye mwenyewe, na hapo ndipo inapokuwa kiroja.
 
Mimi ni mwanaume niliyeoa, ninatamani pia kupata mke wa mtu mwingine, vipi unaweza kuni-PM namba ya wife wako? Maana unaonekana umemchoka though unadmit kuwa she is very smart and idealistic.

Niko kwenye PM.

ehneeeeeeee!hapa sawasawa!
 
Back
Top Bottom