Mario Balotelli Ana Kosa Gani?

laana ya wazazi, si amewakana huyu, soon asipoangalia ata run mental. ssa pale ndo alikuwa anacheza nini
 
Kijana kichwa chake sio kizuri. Ana kipaji, lakini hawezi kupata mafanikio kwa sababu ya kiburi. Kama alifikiri ameotea, haikuwa na haja ya kumwonyesha jeuri kocha wake alipotolewa nje-alionekana kama anamjibu vibaya kocha wake kwa kurusha mikono. Huwezi kufanikiwa ktk jambo lolote kama una jeuri ya Balotelli.
 
Kufanya hivyo ni kuukosea heshima mchezo wa soka,vinginevyo ni bangi zake huyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom