Mariam Wangwe na Jukwaa la Wahariri

Status
Not open for further replies.
Hizi ni ngano ulizotunga wewe mwenyewe. Mh Mudhihir amekaririwa na vyombo vya habari kuwa walikuwa wanataniana na Mh Wangwe kuhusu Yanga kutopeleka timu uwanjani dhidi ya Simba. Na yeye Mh Mudhidhir akamrudishia kuwa hajui kuvaa suti ( alifunga buttons zote ) wakacheka na Mh Wangwe akaenda zake and the rest is history.

Hii ya kwako mpya, mkuu umenoa try again...

Kama wewe biblia yako ni vyombo vya habari, pole bwana/bibi masatu. Vyombo vya habari hivi hivi anavyoandikia deodatus balile vinaweza kuwa credible kiasi cha msomi wewe kuviamini? CCM itaendelea kutawala kwa miongo mingi ijayo, kama upeo wa wasomi wetu ndio huu.
 
Muoneni na huyu mwingine.. wapi nimesema Biblia yangu vyombo vya habari? at least mie nimetoa source lakini huyo spin Dr wenu ni udaku kwa kwenda mbele tu....
 
Such a poor reasoning! Hao ndio wasomi waliojaa huko CCM. Kwani kutoa source kunaondoa uwezekano wa udaku. Ni udaku huo ulio kwenye haya makaratasi unayoyaita magazeti.
 
We una akili kama mchwa.. ndio maana umepewa hiyo kazi
 
Such a poor reasoning! Hao ndio wasomi waliojaa huko CCM. Kwani kutoa source kunaondoa uwezekano wa udaku. Ni udaku huo ulio kwenye haya makaratasi unayoyaita magazeti.

Such a ridiclous reasoning, nyie ndio wasomi mlio sheheni Chadema. Kupokea habari kububusa kwa sababu tu imeletwa na pandikizi wa Chadema anaejifanya mwandishi mahiri na spin doctor!
 
Date::9/29/2008
Mke mwingine wa Wangwe aibuka kumpinga mke-mwenza mdogo
Na Kizitto Noya

KIFO cha Mbunge wa Tarime, Chacha Wangwe kinazidi kuibua mengi baada ya mke wake wa kati Dotto Mohamed kukana maelezo ya mke mdogo Mariam Wangwe kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeitelekeza familia.

Akizungumza na gazeti hili jana, Dotto alisema kauli ya Mariam ni nzito mno kuitoa sasa kwani anaamini matukio yanayoendelea baada ya kutokea msiba huo, ndiyo yanayoweka pazia la mawasiliano kati ya Chadema na familia ya Marehemu.

"Sijaisoma taarifa yote ila mtoto wangu ameniletea gazeti ambalo bado ninalo. Mimi ninashindwa kufikiria wala kuwaza kuanza kukilaumu Chama kwamba kimetutelekeza kwani ni mapema mno kufanya hivyo na wote bado tuko kwenye majonzi," alisema Dotto na kuongeza:

Nasema nashindwa kukilaumu chama kwa sababu tangu kutokea kwa msiba huo hakuna aliyetulia, familia bado ina majonzi, chama chenyewe bado kinalia na hata jamii inaendelea kumlilia Wangwe nasema familia yangu bado ina imani na chama na hatuwezi kukilaumu sasa," alisema.

Dotto alisema anaamini Chadema inaongozwa na watu wenye busara hivyo hawezi kuinenea mabaya kabla ya kuridhika kwamba viongozi hao wameanza kupingana na busara hiyo.

"Ninihitaji muda kupima hekima ya chama kabla sijakihukumu kwani kinyume chake nitakuwa sijakitendei haki," alisema.

Alisema mpaka sasa bado anaamini kuwa Chadema iko sambamba na familia ya marehemu Wangwe kwani hata kwenye arobaini iliyofanyika kijijini Komakorere chama hicho kilituma wawakilishi.

Mke huyu wa pili wa Chacha Wangwe anaishi jijini Mwanza na jana alikuja jijini Dar es Salaam kuwachukua watoto wake wawili waliokuwa wakiishi na Mariam, mke mdogo wa Wangwe.

Jana Dotto aliiambia Mwananchi kuwa katika safari yake hiyo pia amepanga kukutana na Mariam na kuzungumza naye ili ajue kiini cha shutuma zake kwa Chadema.

"Kuja kwangu Dar es Salaam ni pamoja na kuwachukua wanangu wawili ambao wamekuwa wakiishi na Mariam; katika ujio huo tutakaa tuzungumze anieleze kwa nini ameamua kuzungumza maneno hayo sasa,".

Alisema hata kama Mariam atafanikiwa kumshawishi aamini maneno yake, bado atahitaji muda kukubaliana naye kwani anaamni kuwa bado ni mapema mno kutoa shutuma hizo.

"Sisi bado tuna imani na Chama na hatuwezi kujua chama kinatuwazia nini hivyo narudia: ni mapema mno kutoa shutuma hizo kwani wote bado tuko kwenye majonzi," alisisitiza.

Akizungumzia kauli ya Dotto, Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa alisema ndiyo aliyotarajia kusikia kutoka kwa familia ya marehemu Wangwe.

"Nafikiri kauli hiyo ndiyo niliyotarajia kutoka kwa familia ya Wangwe ninayemfahamu kwa sababu kama utakumbuka tangu mwanzo wa msiba, sisi (CHADEMA) tulikuwa tukisakamwa sana lakini tulikaa kimya kwa busara ili tusimkamate mchawi asiyetuhusu," alisema.

Dk Slaa ambaye alisisitiza kwamba hamfahamu Mariam kama mke wa marehemu Wangwe, alisema anasikitishwa na kauli yake ambayo anaamini kuwa imelenga kukichafua chama.

Hiki anacholalamikia kwamba Chadema hawakuhudhiria arobaini ya mume wake, nashindwa kuelewa. Kumbuka mimi nina miaka 60 na tangu nianze kufahamu arobaini, najua zinafanyika mahala alikozikwa marehemu.

Wangwe alizikwa Komakerere na arobaini yake ilifanyika huko na Chadema tulituma mwakilishi. Hii arobaini aliyoifanya Mariam na Profesa Wangwe Dar es Salaam hatukuijua wala wao hawakutaka Chadema iijue," alisema.

Akifafanua alisema ingawa Mariam alitoa taarifa ya arobaini aliyoifanya Dar es Salaam, waalikwa katika taarifa hiyo ni wabunge kwa majina yao na sio Chadema kama taasisi.

Alisema pamoja na kasoro hiyo wabunge wa Chadema Suzan Lyimo na Grace Kihwelu walihudhuria kwa kofia zao lakini waliwakilisha chama kwa salamu ambazo zilisomwa na Lyimo katika hafla hiyo.

"Mimi Dk Slaa nilialikwa kwa ubunge wangu na sio ukatibu mkuu wa Chadema na Mbowe alialikwa kwa jina lake na sio uenyekiti wa Chadema vivyo hivyo wabunge wengine. Sasa Chadema inapolaumiwa tunashindwa kuelewa," alisema na kuendelea

"Mimi namshauri Mariam akutane na wazee wamshauri kwanza badala ya kukurupuka na kutoa maneno ya kukipaka matope chama. Yeye anataka athaminiwe, atathaminiwaje kama yeye Mariam hataki kukithamini chama," alihoji

Kauli ya Dotto na Dk Slaa imekuja siku tatu baada ya mke wa tatu wa Marehemu Wangwe kuzungumzia utata wa kifo cha mumewe na kukitupia lawama Chadema kwamba kimeitelekeza familia baada ya kifo hicho.

Mariam alienda mbali zaidi na kumtaka spika wa Bunge Samwel Sitta kuchunguza kifo hicho akidai kuwa haridhiki na uchunguzi uliofanywa na jeshi la polisi.

Wangwe, mwanasiasa machachari aliyepata umaarufu kwa kuibua hoja tata bungeni, alifariki dunia katika ajali ya gari wakati akisafiri kutoka Dodoma kwenda Dar es Salaam kuhudhuria mazishi ya mfanyabiashara na mbunge wa kwanza wa jimbo la Tarime Bhoke Munamka.

Lakini mazingira ya kifo chake yalizua utata mwingi baada ya kuchukuliwa kama agenda ya uchaguzi mdogo katika kampeni zinazoendelea sasa jimboni humo kumpata mrithi wa kiti chake.

Tayari Jeshi la Polisi limemfungulia mashtaka Deus Mallya aliyekuwa akisafari na marehemu kwa tuhuma za kusababisha mauaji hayo.

Lakini mke huyo mdogo wa Wangwe anaona juhudi hizo za polisi ni ndogo na hivyo, serikali na Spika Sitta hawana budi kuongeza uzito wao.

“Sipendi mambo haya yaishe hivi hivi," alisema mama huyo. "Familia ya Wangwe haijaridhishwa na namna polisi wanavyofuatilia kifo cha Wangwe."

"Wasiwasi wangu ni uchunguzi unaofanywa na polisi kwani hawajawahi hata kufika kuniuliza kuhusu kifo cha Wangwe nikiwa kama mke wake.“Labda maelezo yangu yangewasaidia kwa kiasi fulani.

Akizungumzia hali ilivyokuwa katika kipindi cha kuelekea kifo cha mumewe, Mariam alisema mambo yalikuwa magumu sana nyumbani, hasa baada ya Wangwe kusimamishwa nafasi yake ya makamu mwenyekiti wa Chadema.

Pia Mke wa pili wa marehemu Chacha wangwe,Doto amesema

cha msingi ni viongozi kusaidi kulea watoto tisa aliowaacha marehemu ambao ni Zakayo na Rhobi (18) ambao ni mapacha, Bob (17), Pendo (16), Beatrice, (15) na Wangwe mwenye miaka 14 ambao ni watoto wa mke mkubwa nayeitwa Ghati.

Kwa yeye Doto ana watoto wawili, Mwajuma (11) na Ghati (6) wakati Mariam ana mtoto mmoja anaitwa King (1).

Naye Beatrice Charles, anaripoti kuwa viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Dar es Salaam kimemtaka katibu wa chama hicho, Wilbroad Slaa kumuomba radhi mjane wa marehemu chacha Wangwe kwa kutomtambua kuwa ni mjane wa Chacha Wangwe.

Akizungumza na waandishi wa habari Jiji jana katibu wa vijana Wilaya ya Kinondoni Mauld Mkwanji alisema Dk Slaa anapaswa kumuomba radhi mjane huyo kutokana kutomtabua.

“Kauli hiyo imetukwaza sana sababu marehemu Wangwe hakuwa msiri na wakati wa uhai wake alimtambulisha mkewe wake kwa viongozi wa chama na walikuwa wanamfahamu vizuri sasa iweje wasimtambue,” alisema Mkwanji.

Alisema kitendo cha Dk Slaa kutomtambua mjane huyo ni kutomtendea haki na kwamba anapaswa kumuomba radhi.

Alisema kitendo cha katibu huyo kinaweza kuendeleza chuki katika familia hiyo.

Tuma maoni kwa Mhariri
 
Date::9/29/2008
Mke mwingine wa Wangwe aibuka kumpinga mke-mwenza mdogo
Na Kizitto Noya
Mwananchi

"Sipendi mambo haya yaishe hivi hivi," alisema mama huyo. "Familia ya Wangwe haijaridhishwa na namna polisi wanavyofuatilia kifo cha Wangwe."

"Wasiwasi wangu ni uchunguzi unaofanywa na polisi kwani hawajawahi hata kufika kuniuliza kuhusu kifo cha Wangwe nikiwa kama mke wake."Labda maelezo yangu yangewasaidia kwa kiasi fulani.

Akizungumzia hali ilivyokuwa katika kipindi cha kuelekea kifo cha mumewe, Mariam alisema mambo yalikuwa magumu sana nyumbani, hasa baada ya Wangwe kusimamishwa nafasi yake ya makamu mwenyekiti wa Chadema.

Pia Mke wa pili wa marehemu Chacha wangwe,Doto amesema cha msingi ni viongozi kusaidi kulea watoto tisa aliowaacha marehemu ambao ni Zakayo na Rhobi (18) ambao ni mapacha, Bob (17), Pendo (16), Beatrice, (15) na Wangwe mwenye miaka 14 ambao ni watoto wa mke mkubwa nayeitwa Ghati.

Kwa yeye Doto ana watoto wawili, Mwajuma (11) na Ghati (6) wakati Mariam ana mtoto mmoja anaitwa King (1).

Naye Beatrice Charles, anaripoti kuwa viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Dar es Salaam kimemtaka katibu wa chama hicho, Wilbroad Slaa kumuomba radhi mjane wa marehemu chacha Wangwe kwa kutomtambua kuwa ni mjane wa Chacha Wangwe.

Akizungumza na waandishi wa habari Jiji jana katibu wa vijana Wilaya ya Kinondoni Mauld Mkwanji alisema Dk Slaa anapaswa kumuomba radhi mjane huyo kutokana kutomtabua.

"Kauli hiyo imetukwaza sana sababu marehemu Wangwe hakuwa msiri na wakati wa uhai wake alimtambulisha mkewe wake kwa viongozi wa chama na walikuwa wanamfahamu vizuri sasa iweje wasimtambue," alisema Mkwanji.

Haya mambo ya familia ya Wangwe ni makubwa na ndio maana nilimshauri mama Mariam atulie kidogo ili haya mambo yatulie kusisitisha mgawanyiko wa kifamilia ambao utaathiri watoto kuliko kina mama.

Siasa ni mchezo mchafu sana usio jali maisha ya watu.
 
Such a ridiclous reasoning, nyie ndio wasomi mlio sheheni Chadema. Kupokea habari kububusa kwa sababu tu imeletwa na pandikizi wa Chadema anaejifanya mwandishi mahiri na spin doctor!

Usikwepe hoja ya msingi wewe. Maelezo yako yana fallacy of argument. Kuokoteza kitu kwenye kijigazeti basi huo hauwezi kuwa udaku. Hoja ya nguvu hiyo.

Halisi analeta vitu halisi; sio weye, job description yako ni ukandiaji tu, kwa vile tu unalipwa na lisisiemu lenu.
 
Si unaona unavyo thibitisha upeo wako mdogo... unashindwa kutofautisha source na ukweli wa hiyo source. Source yangu inaweza ikawa eye witness hata hivyo haina maana kuwa ni 100% ni kweli naweza huyo eye witness akaongopa vilevile.

Kwako wewe Halisi ni halisi, unasahau nae ni binadamu ana utashi (Chadema) na yupo hapa kwa malengo maalum ya walio mtuma. Tukiacha hilo kwako wewe Halisi ambae ni mwanadamu anonymous ni perfect, lakini gazeti ambalo linaandikwa na wanadamu na linasimamiwa na sheria maalum ( known) ni udaku!

Kazi kweli kweli.... kweli mpaka kieleweke!
 
Jamani we mkamap, ndugu yake Mkapa na wewe Masatu swahiba wa Wasirra mna nini na Halisi wangu?

Mkiandelea nitatoka mafichoni na kwa kweli itakuwa mimi na nyinyi tu. Sasa endeleeni na mipasho yetu mkutane na Asha wa Mipasho. Halisi mtu wa issues, anayejali maslahi ya taifa hana itikadi za vyama nyie mna mvisha uchadema. Ama kweli mmetumwa

Asha
 
Kumbe ukiamua unaweza kufikiri kama binadamu mwenye akili timamu. Sasa kwa nini unajibaraguza namna hii? Pesa ya Rostam inakutia upofu kiasi hicho? Hello boy!
 
Jamani we mkamap, ndugu yake Mkapa na wewe Masatu swahiba wa Wasirra mna nini na Halisi wangu?

Mkiandelea nitatoka mafichoni na kwa kweli itakuwa mimi na nyinyi tu. Sasa endeleeni na mipasho yetu mkutane na Asha wa Mipasho. Halisi mtu wa issues, anayejali maslahi ya taifa hana itikadi za vyama nyie mna mvisha uchadema. Ama kweli mmetumwa

Asha

Na wewe umetumwa na nani?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom