Maria Sarungi aishtaki Serikali ya Tanzania kwa Beyonce kuhusu suala la Ngorongoro

muafi

JF-Expert Member
Oct 6, 2015
2,117
4,812
Ni katika muemdelezo wa sakata la wamasai wa Ngorongoro.

Bi Maria Sarungi ambaye ndiye mtu namba moja aliesimama kwa hali na mali kuwapigania Wamasai wa Ngorongoro ameamua kuishtaki serikali ya Tanzania kwa Mwanadada Beyonce na mumewe Jay Z.

Vita ya uchumi ni mbaya sana.

FVj72NMXoAEwahz.jpeg
 
Sio Boho
Ni katika muemdelezo wa sakata la wamasai wa Ngorongoro.

Bi Maria Sarungi ambaye ndiye mtu namba moja aliesimama kwa hali na mali kuwapigania Wamasai wa Ngorongoro ameamua kuishtaki serikali ya Tanzania kwa Mwanadada Beyonce na mumewe Jay Z.

Vita ya uchumi ni mbaya sana.

View attachment 2265420
Siyo Beyonce tu.Ameishitaki serikali kwa taasisi na watu wote wakubwa waliowahi kuja Ngorongoro.Ni wengi sana,kina Bilgate,Melinda,na wengine wengi.Anasema Rise your voice to help the voiceless.
 
Wamasai Ni moja ya vivutio hapo Ngorongoro

Yuko sahihi

Kama movie ya Royal Tour , hakuleta matekeo yoyote Basi Samia hajui lolote kuhusu Utalii.
Na hii kitu ita chafua sekta ya utalii
unajua mpango wa masai kuamishwa ngorongoro ulianza mwaka gani?

je kwa unavyolielewa hilo swala umeambiwa wanaamishwa wote? au unaskia tu story kwa juu juu?
 
Naunga mkono hoja;

"Raise your voice to help the voiceless".

Wamasai wanalazimishwa kuondoka Ngorongoro kwa vipigo huku serikali ikitudanganya na maandamano feki ya "wamasai wa mjini"

Kumfurahisha mjomba kusiwaumize wamasai.
 
Ni katika muemdelezo wa sakata la wamasai wa Ngorongoro.

Bi Maria Sarungi ambaye ndiye mtu namba moja aliesimama kwa hali na mali kuwapigania Wamasai wa Ngorongoro ameamua kuishtaki serikali ya Tanzania kwa Mwanadada Beyonce na mumewe Jay Z.

Vita ya uchumi ni mbaya sana.

View attachment 2265420
Jiga alikujaga lini hapa
 
Ana matatizo ya akili huyu dada hili ni taifa huru lina sera na sheria zake za ndani katika kufanya mambo yake.
Hana matatizo ya akili,anasema ukweli.Kama ndugu zako wa damu wangekuwa wanafanyiwa hivyo ,ungefurahi?Hili suala ,watanzania wengi wapi kimya,lakin litaleta chuki Sana kwa serikali ya CCM.
 
Huyo hajawahi kuwa na hoja. Anaropoka tuu bila kutumia akili. Sema kinachomfanya apate attention ni jina la baba yake tu. Lkn nje ya hapo is just normal pumpkin.
Hoja yako Mbona hatuioni ?Unaongea kuwa Maria Hana hoja.Sawa yako ni ipi?
 
Naunga mkono hoja, Raise your voice to help the voiceless.

Wamasai wanalazimishwa kuondoka Ngorongoro kwa vipigo huku serikali ikitudanganya na maandamano feki ya "wamasai wa mjini"

Kumfurahisha mjomba kusiwaumize wamasai.
kama wanakaidi kuhama kwa hiyari wafanyweje
 
Hana matatizo ya akili,anasema ukweli.Kama ndugu zako wa damu wangekuwa wanafanyiwa hivyo ,ungefurahi?Hili suala ,watanzania wengi wapi kimya,lakin litaleta chuki Sana kwa serikali ya CCM.
wanafanyiwaje?
 
Back
Top Bottom