Marekani yawafukuza Wanadimplomasia 35 wa Kirusi kwa kuingilia mfumo wa matokeo ya Urais

Mimi sijauona ushahidi, na sidhani kama ushahidi utawekwa wazi kwa dunia nzima kuuona (kama upo)

Ushahidi kutokuwekwa hadharani ni fursa ya watu kudanganya na/au kutia chumvi na kuendeleza propaganda kwa manufaa ya kisiasa.

Nachosema ni kuwa, ni sahihi zaidi watu wawe neutral tu na si ku dismiss moja kwa moja shutuma anazotoa Obama kwa Urusi.

Hiyo neutrality inapaswa kuwa extended kwa Urusi? Je, ni sahihi pia kwa Urusi kupewa benefit of the doubt?

Na je, ni sawa kuamini mazima yote ayasemayo Obama?

Au wote Obama na Putin wanatakiwa waaminiwe na/au kupingwa in equal measure?

Kama kuna sababu za kuamini kuwa Urusi ilijipenyeza katika uchaguzi mkuu, Obama hawezi kunyamaza eti kisa marekani itaonekana ni dhaifu.

Kwa nini ukiri hadharani madhaifu yako hususan ambayo yatampandisha chati hasimu wako?

Ina maana Marekani wao hawana ubavu wa ku hack matovuti ya Urusi huko lakini Urusi inaweza kuhack matovuti ya US?

Kukiri hadharani namna hiyo [kama ni kweli walihackiwa], ni blunder.

September 11...ilikuwa ni ngumu kuamini kuwa nchi yenye nguvu na teknolojia kubwa duniani ingeweza kuliwa tigo siku ile

Mbona kuna watu tayari walishagaliona hilo...bofya hapo uone The Man Who Predicted 9/11 (TV Movie 2005) - IMDb

Ndo nikasema chochote chaweza kutokea, hata hiyo hacking pia.

Kuwa lolote laweza kutokea is too obvious.

Mimi niko neutral.

Kwa hiyo na Putin naye unampa benefit of the doubt kwamba, pasi na ushahidi wa kutosha, kuridhisha, na kushawishi kuwa Urusi ili hack uchaguzi wa Marekani, kuna uwezekano kuwa hakuhusika kabisa na kwamba anasingiziwa, siyo?
 
Bad
[E="Kishada04, post: 19081731, member: 380752"]Angalau amefanya kitu japo haitosaidia kitu kwavile serikali inayokuja inamuunga mkono Putin.[/QUOTE]
BadoBado sana katika uelewa wako!!??
 
hizi tuhuma zimekuzwa, kuna mtu anatafutwa hapa
 
Nani TE="Sexer, post: 19084191, member: 254857"]hizi tuhuma zimekuzwa, kuna mtu anatafutwa hapa[/QUOTE]
Nani
 
E="Nyani Ngabu, post: 19083338, member: 188"]Ndo maana nimehoji/ nimeuliza kuwa ushahidi uko wapi kuwa Urusi ilifanya hayo wanayodai ilifanya.

Wewe umeuona huo ushahidi? Au maneno tu kwamba Urusi ilidukua mfumo wa uchaguzi wa Marekani kwako yanatosha?



Hakuna aliyeamini tukio la 9/11?

Unamanisha nini hapo? Kwamba baada ya tukio "hakuna" aliyeamini au unamaanisha kwamba kabla ya tukio "hakuna" [yaani watu wengi] aliyedhani wala kuwaza kwamba jambo kama hilo linaweza kutokea?



Yeah lolote laweza kutokea....hata bahari zote kukauka na kuishiwa maji nalo laweza kutokea.[/QUOTE]
Ikiwa

Ikiwa wao wameona hilo ni kipi kinachokufanya ukomaze mishipa kukataa kile walicho kifanyia uchunguzi!??

Au nawe huko umekuwa CIA?
 
Tayari kimenuka Russia wamefunga chuo kikuu cha kimarekani cha Anglo-American School of Moscow.

Wanafunzi wote 1250 ambao wanatoka nchi 60 duniani kwa sasa wapo likizo na hawataruhusiwa kurudi Moscow kuendelea na masomo.

Katika hatua nyingine moja ya nyumba za makazi za ubalozi wa Marekani mjini Serebryany Bor karibu na Moscow nayo imefungwa.
 
Obama ajifunze kuwa na adabu kwa rais wake lama vile watangulizi wake walivyokua na adabu kwa Obama.

Afanyacho Obama ni mwanzo wa kampeni zake mpya za kuharibu image ya Trump.

Obama anapaswa kutambua kuwa, akiwa kama raised wa Marekani, huku akiwa anaungwa mkono na chama chake, na wale Republicans walisimama na kuungana pamoja dhidi Trump lakini aliwachapa kwa umoja wao, hivyo asitarajie kutakua na wakati wowote ule, wa Sasa au ujao kwamba anawwza akajipanga na kushinda dhidi ya Trump.

Zaidi hizi tuhuma zinamfanya ainekane ni raid aliyedhoofisha na kuidharirisha marekani. Leo hii marekani imekua taiga LA kuchapwa kwa mifumo take waliliyoigundua wenyewe? Leo hii Marekani ambayo ni Kimara wa kuwaondoa madarakani viongozi wa mataifa mbalimbali wasiowataka na kuwaweka wa kwao wenye maslahi nao, eti leo marekani inalia kuwekewa na taiga jingine raid isiyemtaka. Kwa tuhuma hizo Marekani anakiri kuwa Russia ndiye super power.

Obama ajaribu kuwa serious, wazungu wanamtumia Obama kwenye upuuzi huu kwa sababu wanajua Obama angalau anafanana na Tabia hizi za ubishi dhidi ya matokeo kwa kuangalia asili ya upande wa baba yake (Afrika). Laiti Obama angekua ni mzungu, naamini kamwe wasingeitumia hii karata, wangetafuta maneno mengine.
 
Haha Kremlin wametisha ,hivi inawezekana vipi Urusi iingilie uchaguzi wa Marekani ,CIA,FBI,NSA wasijue hayo ?
Obama acha kelele zako una wiki zako tatu umwachie Trump kiti ,Ni hulka ya mwanadamu tu pale anapoona ameshindwa kufanikiwa lawama anawatupia wengine
 
Naona watakuwa wanapelekeshana tu mwisho wa siku atakae umia twamjua
Leo Urusi imesema itamuumiza Marekani
 
Ushahidi kutokuwekwa hadharani ni fursa ya watu kudanganya na/au kutia chumvi na kuendeleza propaganda kwa manufaa ya kisiasa.



Hiyo neutrality inapaswa kuwa extended kwa Urusi? Je, ni sahihi pia kwa Urusi kupewa benefit of the doubt?

Na je, ni sawa kuamini mazima yote ayasemayo Obama?

Au wote Obama na Putin wanatakiwa waaminiwe na/au kupingwa in equal measure?



Kwa nini ukiri hadharani madhaifu yako hususan ambayo yatampandisha chati hasimu wako?

Ina maana Marekani wao hawana ubavu wa ku hack matovuti ya Urusi huko lakini Urusi inaweza kuhack matovuti ya US?

Kukiri hadharani namna hiyo [kama ni kweli walihackiwa], ni blunder.



Mbona kuna watu tayari walishagaliona hilo...bofya hapo uone The Man Who Predicted 9/11 (TV Movie 2005) - IMDb



Kuwa lolote laweza kutokea is too obvious.



Kwa hiyo na Putin naye unampa benefit of the doubt kwamba, pasi na ushahidi wa kutosha, kuridhisha, na kushawishi kuwa Urusi ili hack uchaguzi wa Marekani, kuna uwezekano kuwa hakuhusika kabisa na kwamba anasingiziwa, siyo?
Navyojua matters of national security cannot be of public display. Kuna ishu haziwezi kuwekwa wazi kivile.

Na kitendo cha Obama kuweka wazi shutuma dhidi ya Urusi, kwangu mimi naona si blunder bali bravery.

Siwezi kusema kuwa cyber security system ya marekani (hususan system ya uchaguzi) haiwezi kuwa hacked eti kwa sababu ni marekani. That's not even logical.
 
Hii ni aibu kubwa sana kwa uncle Sam, eti superpower! Superpower analialia hivi aibu.
Yani ni sawa uchapiwe mke wako halafu ulivyo boya unakuja kulialia hadharani eti jamani nimechapiwa mke.
 
Ila kama KGB walifanikiwa ku-hack electral system ndo kusema wamarekabi wako weak sana kwenye mambo ya technology kiasi cha kuweza kuingiliwa kwenye idara nyeti kama hii ? Je huko kwwnye mambo ya ulinzi kuko salama?
 
Majority of GOP senators are on O's side?

Prez elect is going to the WH with both houses in his hands and was expected to just cruise, lakini kama wanaanza kwa mgawanyo huu, it ain't going to be that easy for him.

Achana na propaganda za viombo vya habari vyenye mrengo wa ki-Clinton. Ukweli ni kwamba bado Trump na power ya ku-overturn hizo executive order za Obama.

Alichokifanya Obama ni kitu cha kipuuzi kabisa hata kwa tafsiri za siasa za ndani za Marekani. Hiyo ni tactical move ya kumlazimisha Trump aendeleze foreign policy ya Obama on Russia. Ikumbukwe kuwa tokea kipindi cha kampeni, Trump alieleza kinagaubaga kuwa atarejesha mahusiano mazuri ya kidiplomasia na Urusi (Russia) kwa kutomchukulia Russia kama ADVERSARY (ADUI) ila kama PARTNER katika kukabiliana na changamoto za kisiasa na kiusalama ulimwenguni.

Katika kuhakikisha hilo linatokea, Trump ameshamteua ExxonMobil CEO Bwana REX TILLERSON kuwa Waziri wa mambo ya kigeni wa Marekani. Huyu ni rafiki mkubwa wa Rais PUTIN wa Russia. Kabla ya uteuzi huu, watu wanaotumia mzozo wa Marekani na Urusi kujinufaisha binafsi, walifanya lobbying ili Trump amteue MIT ROMNEY kwenye nafasi hiyo ya uwaziri wa mambo ya kigeni. Walifanya vikao vya kichama (REPUBLICAN) kuwapatanishaTRUMP na ROMNEY kwani ROMNEY alikuwa akimpinga sana TRUMP kuanzia kwenye kura za mchujo ndani ya Republican na hata TRUMP alipoibuka kidedea, still ROMNEY hakumpa support ya kutosha TRUMP kwenye mpambano na Hillary Clinton. Vilevile Romney ni supporter mkubwa wa vikwazo dhidi ya Urusi.

Republican Pundits wachache wanaomtakia mema TRUMP wakamzuia dakika za mwisho asimteua ROMNEY kuwa waziri wake wa mambo ya nje, na ndipo huyo Tillerson ambaye ni PRO-PUTIN akateuliwa rasmi. Jambo hili limewaudhi sana ANTI-TRUMP akiwemo Rais Obama. Hii ndio sababu kuu ya Obama kutumika kumuwekea ugumu RAISI MTEULE TRUMP katika mambo ya kigeni (foreign policy) hasa katika muktadha wa Urusi.

Hata hivyo, chama cha Republican anakotoka Trump kina majority power kwenye bunge la Uwakilishi (House of Representatives) na lile la SENATE. Endapo Republicans waliopo ndani ya mabunge haya mawili watamuunga mkono Trump, basi huenda 'executive order' za obama zikatenguliwa. La sivyo, Raisi Trump atapata shida sana kui-restructure upya foreign policy ya Marekani.
 
Majority of GOP senators are on O's side?

Prez elect is going to the WH with both houses in his hands and was expected to just cruise, lakini kama wanaanza kwa mgawanyo huu, it ain't going to be that easy for him.
Obama inamuuma sana! Anatafuta sababu za kujustify kushindwa kwa chama chake kwa goli LA kisigino la dakika za majeruhi! Trump kawashinda marais wanne walioweka nguvu zao pamoja! Obama, Bush wawili na Clinton!
Ukweli ni kwamba wameshindwa kihalali!
Hawakutegemea!
 
Back
Top Bottom