Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,252
- 113,647
Mimi sijauona ushahidi, na sidhani kama ushahidi utawekwa wazi kwa dunia nzima kuuona (kama upo)
Ushahidi kutokuwekwa hadharani ni fursa ya watu kudanganya na/au kutia chumvi na kuendeleza propaganda kwa manufaa ya kisiasa.
Nachosema ni kuwa, ni sahihi zaidi watu wawe neutral tu na si ku dismiss moja kwa moja shutuma anazotoa Obama kwa Urusi.
Hiyo neutrality inapaswa kuwa extended kwa Urusi? Je, ni sahihi pia kwa Urusi kupewa benefit of the doubt?
Na je, ni sawa kuamini mazima yote ayasemayo Obama?
Au wote Obama na Putin wanatakiwa waaminiwe na/au kupingwa in equal measure?
Kama kuna sababu za kuamini kuwa Urusi ilijipenyeza katika uchaguzi mkuu, Obama hawezi kunyamaza eti kisa marekani itaonekana ni dhaifu.
Kwa nini ukiri hadharani madhaifu yako hususan ambayo yatampandisha chati hasimu wako?
Ina maana Marekani wao hawana ubavu wa ku hack matovuti ya Urusi huko lakini Urusi inaweza kuhack matovuti ya US?
Kukiri hadharani namna hiyo [kama ni kweli walihackiwa], ni blunder.
September 11...ilikuwa ni ngumu kuamini kuwa nchi yenye nguvu na teknolojia kubwa duniani ingeweza kuliwa tigo siku ile
Mbona kuna watu tayari walishagaliona hilo...bofya hapo uone The Man Who Predicted 9/11 (TV Movie 2005) - IMDb
Ndo nikasema chochote chaweza kutokea, hata hiyo hacking pia.
Kuwa lolote laweza kutokea is too obvious.
Mimi niko neutral.
Kwa hiyo na Putin naye unampa benefit of the doubt kwamba, pasi na ushahidi wa kutosha, kuridhisha, na kushawishi kuwa Urusi ili hack uchaguzi wa Marekani, kuna uwezekano kuwa hakuhusika kabisa na kwamba anasingiziwa, siyo?